Marekani: Rapa Kanye West atangaza kugombea Urais

Marekani: Rapa Kanye West atangaza kugombea Urais

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kanye West (43) ametangaza kupitia mtandao wa Twitter kuwa atagombea Urais nchini Marekani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Novemba 2020

Bado haijafahamika kama ameshaanza mchakato huo ikiwa imesalia miezi 4 pekee hadi Uchaguzi ufanyike. Zoezi la kuongeza wagombea binafsi bado halijafungwa kwenye majimbo mengi nchini humo

Baada ya Kanye kuweka ujumbe kuwa atagombea Urais, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tesla, Elon Musk alimjibu akisema anamuunga mkono

===
American rapper Kanye West, a vocal supporter of United States President Donald Trump, has announced that he will run for president in 2020, raising bewildered reactions to his move to challenge Trump and the presumptive Democratic rival, former Vice President Joe Biden.

"We must now realize the promise of America by trusting God, unifying our vision and building our future. I am running for president of the United States," West wrote in a social media post late on Saturday (01:00 GMT Sunday), adding an American flag emoji and the hashtag "#2020VISION".

It was not immediately clear if West was serious about vying for the presidency four months before the November 3 election, or if he had filed any official paperwork to appear on state election ballots.

The deadline to add independent candidates to the ballot has not yet passed in many states.

West and his equally famous wife, Kim Kardashian West, have visited Trump in the White House.

At one meeting in October 2018, West delivered a rambling, profanity-laden speech in which he discussed alternative universes and his diagnosis of bipolar disorder, which he said was actually sleep deprivation.

Elon Musk, the chief executive of electric-car maker Tesla and another celebrity known for eccentric outbursts, endorsed West's Twitter post: "You have my full support!" he wrote.

Josh Marshall, founder of the political website Talking Points Memo, called West's move a "stunt" that is "part of some deal with Trump".
 
IMG_4086.JPG
 
TATIZO KUBWA LILILOPATA KASI KTK UTAWALA WA TRAMP HUKO AMERIKA NI BAGUZI WA RANGI NA DINI. SASA HUYO KANYE SIJUI ATAPENYEA WAPI
 
Afu kim kardashian ndo awe first lady [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa namkubali Sana nlienda Cassino moja nikakuta kajaza nyomi sasa cjui Ni walikuwa walevi au wanamsikiliza West Kanye Kardashian
 
Back
Top Bottom