#COVID19 Marekani: Robo tatu ya wagonjwa wa COVID 19 wanaolazwa wana chanjo ya COVID- 19

#COVID19 Marekani: Robo tatu ya wagonjwa wa COVID 19 wanaolazwa wana chanjo ya COVID- 19

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona!! ROBO TATU ya maambukizi mapya yanawapata waliochanjwa chanjo ya corona. Asilimia 80 ya wanaoelemewa na

Corona na kulazwa ni wale waliopata chanjo kamili, yaani chanjo mbili!! Hatimaye watu wataelewa tu! Wanapendekeza angalau barakoa zinasaidia. Hawa hapa soma mwenyewe! Ikibidi tafuta mkaliman kama lugha ya malkia ni tatizo!

-----
The CDC released that evidence on Friday. In a study of 469 cases of Covid-19 that broke out in the resort town of Cape Cod, Massachusetts, earlier this month, 74% occurred in “fully vaccinated persons.” Four out of five patients hospitalized were fully vaccinated, and on average the inoculated had completed their two rounds of doses only 86 days before infection.

The cases studied occurred in people vaccinated primarily with Pfizer and Moderna shots, with a smaller number having received Johnson & Johnson’s one-dose jab. No one vaccine was singled out as providing better or worse protection, and none appeared to prevent symptoms from developing. Some 79% of vaccinated patients were symptomatic, the study noted.

Lab testing revealed that 90% of all the Cape Cod infections involved the Delta variant of the coronavirus.

The report lends weight to the argument that the current crop of vaccines aren’t as effective against the Delta variant, although the CDC and World Health Organization (WHO) both insist that vaccination is effective against “severe disease and death” from the virus, to quote WHO technical lead Maria Van Kerkhove in a briefing earlier on Friday.

ALSO ON RT.COM
Governor Abbott threatens to fine local govts that order Texans to mask up as CDC U-turn triggers wave of new mandates.

However, the CDC study noted that similarly high viral loads were found in vaccinated and unvaccinated people. Walensky stated on Friday that “high viral loads suggest an increased risk of transmission” and raised concern that “vaccinated people infected with Delta can transmit the virus.” The study itself is less alarmist, stating that “microbiological studies are required to confirm these findings.”
L
Walensky said that the Cape Cod study was “pivotal” in informing the CDC’s decision to recommend indoor masking. Previously, the agency drew flak from Republicans for using an extremely limited Indian study on viral loads and potential transmission to back up the mask guidance, as was revealed by documents leaked to the Washington Post on Thursday.

The study appears to negate the argument by top health officials that unvaccinated Americans are responsible for the fourfold rise in Covid-19 cases in the US since June. “This is an issue predominantly among the unvaccinated, which is the reason why we’re out there, practically pleading with the unvaccinated people to go out and get vaccinated,” White House coronavirus adviser Dr. Anthony Fauci told CNN on Sunday, adding that the US is currently moving “in the wrong direction” with regard to stamping out Covid-19.


Inasikitisha kuona kuwa mataifa mengi kwa ujinga tu na kukosa uzalendo wa kweli, yamejiingiza kwenye mtego mkubwa wa gharama kubwa kwa ajili ya chanjo ambayo mwisho wa siku haisaidii chochote!! Miradi ya maendeleo itasimama na mataifa kutwikwa deni kubwa la muda mrefu!

Hivi haujiulizi: wanakupa chanjo kiasi kidogo kisichotosheleza manitaji ili kukuingiza mtegoni yaani wanakupa "msaada" wa chanjo asilimia 20 ya watu wako halafu wewe ununue au ukopeshwe chanjo kutosheleza asilimia 80 ya watu wako waliobaki!! Lakini mbaya zaidi hata chanjo yenyewe haisaidii, sana sana inakufanya uishi kwa hofu ya madhara ya muda mrefu ambayo hayajulikani, ukiacha madhara ya muda mfupi yanayojulikana kama damu kuganda na kufa, sehemu iliyochanjwa kuwa kama sumaku nk.

KINACHOSHANGAZA viongozi wanayajua yote haya na walikuwa wanayazungumza vizuri tu miezi michache iliyopita, lakini sasa wamegeuka kuwa mitume na manabii wa kuipigia debe chanjo ya corona, na kuanza kuwatisha watu na data za corona ambazo awali walisema ni ujinga kutangaza data maana hazijakusudiwa kwa matumizi ya wote isipokuwa kwa matumizi ya madaktari tu. Kulikoni? Kwa nini tusiamini lile dau alilotangaza Biden na wao linawahusu?
 
Taasisi ya kudhibiti magonjwa mbalimbali ya Marekani, CDC imesema robo tatu ama 75% ya wagonjwa wa Covid 19 wanaolazwa ama wanaopatikana na virusi vya Covid 19 wamechanjwa chanjo zote, yaani fully vaccinated.

CDC inasema imegundua kua kiwango cha virusi vya Covid 19 kwenye miili ya waliochanjwa kiko sawa ama zaidi ya wale ambao hawajachanjwa.

CDC inasema hii inatokana na kirusi kipya cha Delta ambacho kinasambaa sana.

CDC inasema waliochanjwa bado wanaweza kusambasa na kuambukiza virusi sawa na ambao hawajachanja.

Soma zaidi.
 
Pamoja na hii habari bado hawataamini watapinga na jiandae kwa povu mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kuna mbinu inatumika ukweli kama huu uzi wake hufutwa fasta! Ilikuwa nimeweka uzi mwingine wa taarifa hii hii ukafutwa faster!! Hata huu uzi sijui utadumu hapa kwa muda gani! Lakini Mungu anawaona!! Wanataka watu wafanye un-informed decision kwenye issue kubwa kiasi hiki!! Nasema tena MUNGU anawaona!!
 
Taasisi ya kudhibiti magonjwa mbalimbali ya Marekani, CDC imesema robo tatu ama 75% ya wagonjwa wa Covid 19 wanaolazwa ama wanaopatikana na virusi vya Covid 19 wamechanjwa chanjo zote, yaani fully vaccinated.

CDC inasema imegundua kua kiwango cha virusi vya Covid 19 kwenye miili ya waliochanjwa kiko sawa ama zaidi ya wale ambao hawajachanjwa.

CDC inasema hii inatokana na kirusi kipya cha Delta ambacho kinasambaa sana.

CDC inasema waliochanjwa bado wanaweza kusambasa na kuambukiza virusi sawa na ambao hawajachanja.

Soma zaidi.
Sasa cc tuchanje za
Nn sasa.
 
Labda wakiongea wazungu wenyewe wataeleweka.

Imeshapoteza hata maana halisi ya chanjo labda ipewe tu jina jingine.
 
mbona inajulikana kuwa ukipata chanjo haizuii kuambukizwa,
tofaut ni kwamba mwili utakua na uwezo wa kupambana na kirusi hv muelezwe mara ngapi mbn vichwa maji sana?
Soma vizuri hii habari kutoka kwenye chanzo, habari inasema asilimia 80 ya waliolazwa kwa kwa kuele ewa na corona (4 out of 5) walikuwa wamechanjwa kwa ukamilifu chanjo zote mbili za corona!
 
Sp
Mbona inajulikana kuwa ukipata chanjo haizuii kuambukizwa,
tofaut ni kwamba mwili utakua na uwezo wa kupambana na kirusi hv muelezwe mara ngapi mbn vichwa maji sana?
Soma tena vizuri kwenye post namba moja ya uzi huu! Robo tatu ya wanaoambukizwa wana chanjo kamili ya corona, habari haikuishia hapo, inasema pia kuwa asilimia 80 (watu 4 kati ya5) wanaoelemewa na corona na kulazwa hospitalini, wana chanjo kamili ya corona!! Source:CDC centre- USA!! Hiyo habari siyo ya GWAJIMA!! Ni ya wenyewe waliowaletea chanjo!! Nasisitiza- soma tena post #1. Au ingia kwenye internet utafute habari hii mwenyewe!
 
Mbona inajulikana kuwa ukipata chanjo haizuii kuambukizwa,
tofaut ni kwamba mwili utakua na uwezo wa kupambana na kirusi hv muelezwe mara ngapi mbn vichwa maji sana?
Kama wana uwezo wa kupambana na kirusi na hospital wameenda kufanyaje?

Watu Hadi wamelazwa na kuna cases za vifo halafu wewe unaleta maelezo ya kitoto hivyo.
 
Wale wafuasi wa bibi Samia ni kama kenge hawatakuelewa mpaka damu ziwatoke masikioni
 
Mbona inajulikana kuwa ukipata chanjo haizuii kuambukizwa,
tofaut ni kwamba mwili utakua na uwezo wa kupambana na kirusi hv muelezwe mara ngapi mbn vichwa maji sana?
Ona hii ng'ombe! Sasa kwanini ikaitwa chanjo?
 
Kwahio wasingechanja hakuna ambaye angalazwa ?
Au badala ya robo tatu ingekuwa 3/4 ?

Badala ya kulalamika hii chanjo sio 100% tungekuwa tunahangaika kutafuta ipi ni bora zaidi..., tunajua haya ni mapambano ambayo ni endelevu kuliko kuwa wapiga kelele kwamba hii haifai tungetafuta ipi inafaa
 
Inakoelekea waliochanjwa wataforce wote tuchanjwe ili wote tufanane tusiwacheke, hiyo itakua hatari sana.
Halazimishwi mtu hapa, watajua wenyewe
 
Back
Top Bottom