Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu

Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka.

1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine!

2-Raia wa Marekani waondoke Ukraine Sasa!

3-Raia wa Marekani waondoke Ukraine mara moja kwani Marekani haitapeleka majeshi kuwachukua/kuwaokoa!

4-Mambo yanaweza kwenda hovyo haraka huko ukrain hivyo wamarekani waondoke haraka

5-Urusi ikiivamia Ukraine isahau mradi wake wa Bomba la gesi,yaani watafunga koki,

6-Na kauli kubwa kuliko zote iliyonishangaza ni hii:

- "Tunadili na moja ya jeshi kubwa Sana hapa duniani Sio magidi".

Nikikumbuka mwanzo.

Tulikua tunaambiwa kwamba .

"Safari hii wanamwacha tu ajaribu kuivamia Ukraine wampe kichapo"

Sasa nchi inayotegemewa kutoa kichapo imesema hitapeleka majeshi,sio tu kupigana na Urusi, bali pia hata kupeleka majeshi kuwaokoa Raia wake. Aaisee hii sio Marekani ninayoijua Mimi.

Marekani kupitia rais wake anawaambia Raia wake walioko Ukraine kuwa "Tunadili na moja ya jeshi kubwa Sana hapa dunianii,Urusi so magaidi,ondokeni haraka Sana huko Ukraine, hatutamuma wanjeshi kuja kuwaokoa",

Sishabikii Vita ila Kuna vitu lazima tuviangalie kwa pande zote.

Kwa kifupi Ukraine na Wa Europe ndo washatoswa hivyo na mzee mzima.

Marekani watoto wa mjini hawatakagi ujinga kashawauzia wenzie mbuzi kwenye gunia yeye mwenyewe kala Kona.

Nimekuwekea hapo chini taarifa za BBC, Al Jazeera, New York times na Forbes. Kuona jinsi mzee mzima Marekani alivyowaachia msala wenzake.

BBC
Ukraine tensions: Joe Biden says US citizens should leave Ukraine now

Al jazeera
It’s not like we’re dealing with a terrorist organisation. We’re dealing with one of the largest armies in the world. It’s a very different situation and things could go crazy quickly,” he added.

Biden also repeated that under no circumstances would he send US troops to Ukraine, even to rescue US citizens in case of a Russian invasion.

“That’s a world war. When Americans and Russians start shooting one another, we’re in a very different world,” he said.

‘Military action may commence at any time’
His comments came as the US State Department, in a travel note updated on Thursday, advised citizens to leave Ukraine and urged those who remain to exercise caution due to “potential combat operations should Russia take military action”.

“Do not travel to Ukraine due to the increased threats of Russian military action and COVID-19; those in Ukraine should depart now via commercial or private means,” the advisory said.

There are four levels of US warning, the lowest being “exercise normal precautions”.

Ukraine is already at the highest “do not travel” level because of COVID-19 and tensions with Russia. But for US citizens already in Ukraine, the previous advisory said they “should consider departing” from the country.

New York Times


Biden Warns U.S. Won’t Send Troops to Rescue Americans in Ukraine

“American citizens should leave, should leave now,” the president said in an NBC interview, adding that rescues in a conflict zone during a Russian invasion would risk “world war.”

Forbes
That’s A World War’: Biden Says He Won’t Send Troops To Help Americans Evacuate Ukraine
Zachary Snowdon Smith
Forbes Staff
Business
I cover breaking news for Forbes

TOPLINE

President Joe Biden confirmed in an NBC interview Thursday the United States will not send troops to Ukraine to help evacuate Americans if Russia invades, warning a U.S. presence could spark “a world war,” one day after the White House reportedly approved a plan to use U.S. troops in neighboring Poland to help Americans flee Ukraine.

KEY FACTS
Biden told NBC anchor Lester Holt he hopes Russian President Vladimir Putin is “smart enough” not to harm American citizens even if he’s “foolish enough” to invade, and he wants to avoid an evacuation scenario that could lead to clashes between American and Russian troops.
 
Nafuatilia kila kinachojiri ila kila nikiingia jamiiforums naona watetezi wa Marekani wanaongea ujinga tu huku wameweka pamba masikioni...

Katika maswala ya kijeshi kuna mistari Urusi akikiwekea usijaribu kuivuka!
 
Marekani Ina nguvu nyingi Sana za kiuchumi na za kijeshi, na Ina washirika wenye nguvu Sana. Joe Biden ana hekima Sana, hana shida ya kutunisha misuli ili kujionesha kuwa ana nguvu. Atapata faida gani? Dunia s itaangamia. Unapokuwa unatatua jambo tumia hekima sio hisia.
 
Wakati US na NATO zinaleta masihara,Russia imemaanisha kweli kweli! Pamoja na kwamba Russia imezihakikishia kuwa hakuna vita,lakini kinachowatia hofu ni kwa Russia kuzidi kuongeza harakati za kijeshi kwenye mpaka wake na Ukraine na hivi karibuni itaanza Mazoezi ya kijeshi ya siku 10 na Belarus kitu ambacho kinazidi kuzipa hofu zaidi.

Kwangu naona Vita itaisha kwa maneno tu,US na NATO wataomba poo ili yaishe!
 
Marekani Ina nguvu nyingi Sana za kiuchumi na za kijeshi, na Ina washirika wenye nguvu Sana. Joe Biden ana hekima Sana, hana shida ya kutunisha misuli ili kujionesha kuwa ana nguvu. Atapata faida gani? Dunia s itaangamia. Unapokuwa unatatua jambo tumia hekima
.....mnavyooneaga wakina utopolo huko huwaga hamuwazi hayo? Una hekima baada ya kuona unaweza kuchezea kichapo .......maneno ya wahenga yanatimia.......
 
Sio Ukraine ni Poland.
Habari hii imeripotiwa na vyombo vyote vikubwa unavyo ijua wewe hapa duniani
 
Russia hana cha kupoteza. Uchumi wake wa kichovu. Watu kwenye nchi nyingi duniani wakipewa option ya wapi wakatafute maisha Kati ya nchi hizo mbili unajua wapi watapochagua.

Hata wale Pro-Russia
Wewe hujui ma suala ya uchumi una mawazo ya third world country ya kuzamia nchi ili kupata economic refugee status Uchumi wa Russia ni wa saba duniani, jeshi Lake ni la pili duniani.......sasa hapo unacho ongelea hukijui
 
Wewe hujui ma suala ya uchumi una mawazo ya third world country ya kuzamia nchi ili kupata economic refugee status Uchumi wa Russia ni wa saba duniani, jeshi Lake ni la pili duniani.......sasa hapo unacho ongelea hh

Wewe hujui ma suala ya uchumi una mawazo ya third world country ya kuzamia nchi ili kupata economic refugee status Uchumi wa Russia ni wa saba duniani, jeshi Lake ni la pili duniani.......sasa hapo unacho ongelea hukijui
Iko uchumi wa Kati Urusi
 
Back
Top Bottom