Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu

Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka.

1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine!

2-Raia wa Marekani waondoke Ukraine Sasa!

3-Raia wa Marekani waondoke Ukraine mara moja kwani Marekani haitapeleka majeshi kuwachukua/kuwaokoa!

4-Mambo yanaweza kwenda hovyo haraka huko ukrain hivyo wamarekani waondoke haraka

5-Urusi ikiivamia Ukraine isahau mradi wake wa Bomba la gesi,yaani watafunga koki,

6-Na kauli kubwa kuliko zote iliyonishangaza ni hii:
- "Tunadili na moja ya jeshi kubwa Sana hapa duniani Sio magidi".

Nikikumbuka mwanzo.
Tulikua tunaambiwa kwamba .
"Safari hii wanamwacha tu ajaribu kuivamia Ukraine wampe kichapo"
Sasa nchi inayotegemewa kutoa kichapo imesema hitapeleka majeshi,sio tu kupigana na Urusi,Bali pia hata kupeleka majeshi kuwaokoa Raia wake.Aaisee hii sio Marekani ninayoijua Mimi.
Marekani kupitia rais wake anawaambia Raia wake walioko Ukraine kuwa "Tunadili na moja ya jeshi kubwa Sana hapa dunianii,Urusi so magaidi,ondokeni haraka Sana huko Ukraine,hatutamuma wanjeshi kuja kuwaokoa",

Sishabikii Vita ila Kuna vitu lazima tuviangalie kwa pande zote.

Kwa kifupi Ukraine na Wa Europe ndo washatoswa hivyo na mzee mzima.
Marekani watoto wa mjini hawatakagi ujinga kashawauzia wenzie mbuzi kwenye gunia yeye mwenyewe kala Kona.

Nimekuwekea hapo chini taarifa za BBC,AlJazeerra,new York times na Forbes. Kuona jinsi mzee mzima Marekani alivyowaachia msala wenzake.

BBC
Ukraine tensions: Joe Biden says US citizens should leave Ukraine now

Al jazeera

It’s not like we’re dealing with a terrorist organisation. We’re dealing with one of the largest armies in the world. It’s a very different situation and things could go crazy quickly,” he added.

Biden also repeated that under no circumstances would he send US troops to Ukraine, even to rescue US citizens in case of a Russian invasion.
We
“That’s a world war. When Americans and Russians start shooting one another, we’re in a very different world,” he said.

‘Military action may commence at any time’
His comments came as the US State Department, in a travel note updated on Thursday, advised citizens to leave Ukraine and urged those who remain to exercise caution due to “potential combat operations should Russia take military action”.

“Do not travel to Ukraine due to the increased threats of Russian military action and COVID-19; those in Ukraine should depart now via commercial or private means,” the advisory said.

There are four levels of US warning, the lowest being “exercise normal precautions”.

Ukraine is already at the highest “do not travel” level because of COVID-19 and tensions with Russia. But for US citizens already in Ukraine, the previous advisory said they “should consider departing” from the country.

New York Times

Biden Warns U.S. Won’t Send Troops to Rescue Americans in Ukraine
“American citizens should leave, should leave now,” the president said in an NBC interview, adding that rescues in a conflict zone during a Russian invasion would risk “world war.”

Read in app

Forbes

That’s A World War’: Biden Says He Won’t Send Troops To Help Americans Evacuate Ukraine
Zachary Snowdon Smith
Forbes Staff
Business
I cover breaking news for Forbes

TOPLINE
President Joe Biden confirmed in an NBC interview Thursday the United States will not send troops to Ukraine to help evacuate Americans if Russia invades, warning a U.S. presence could spark “a world war,” one day after the White House reportedly approved a plan to use U.S. troops in neighboring Poland to help Americans flee Ukraine.
US-politics-BIDEN-INFRASTRUCTUREUS-politics-BIDEN-INFRASTRUCTURE
President Joe Biden speaks about Russia and [+]SAUL LOEB/AFP VIA GETTY IMAGES
KEY FACTS
Biden told NBC anchor Lester Holt he hopes Russian President Vladimir Putin is “smart enough” not to harm American citizens even if he’s “foolish enough” to invade, and he wants to avoid an evacuation scenario that could lead to clashes between American and Russian troops.

Marekani mbwa koko tu! Hana jeuri kwa Putin. That guy is a smart spy. He knows what he is doing especially playing mind games with the Americans who fall right into his traps blindly.
 
Mobilisation inaendelea

Screenshot_20220211-183411.png
 
Marekani Ina nguvu nyingi Sana za kiuchumi na za kijeshi, na Ina washirika wenye nguvu Sana. Joe Biden ana hekima Sana, hana shida ya kutunisha misuli ili kujionesha kuwa ana nguvu. Atapata faida gani? Dunia s itaangamia. Unapokuwa unatatua jambo tumia hekima sio hisia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahio leo marekani atumie busara sio
 
Siko upande wowote either Russia or USA and Co but tahadhari tu kwa mleta UZI; sisi Tanzania tumezoea propaganda za kisiasa, hasa za ccm na Chadema, walioendelea hizo propaganda za kisiasa waliachana nazo miaka zaidi ya 100 iliopita, wanafanya propaganda za kimkakati kama hivi, kwangu mimi naichukulia hi ni kama propaganda za kivita; Putin anafanya propaganda na USA as well; hakuna mkweli hapo, kwasasa kinacho endelea ni ushushushu/ujasusi wa hali ya juu ndio unafanya kazi, nina hakika CIA, M16, Mossaid na KGB hawalali, wanachunguzana ile mbaya. Unaikumbuka hotuba ya waziri mkuu na waziri wa ulinzi wa Israel miaka ya 70 wakati Idd Amini kawateka wale Wayahudi pale Entebe? Aliita press na wakahutubia kitu tofauti kabisa na walichokuja kufanya in 24 hours. Tusubiri, wababe wa dunia hawa ni hatari. Mwishoni, najua Wazungu hawatapigana though wataachiana sana makovu ya kimahusiano
 
Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka.

1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine!

2-Raia wa Marekani waondoke Ukraine Sasa!

3-Raia wa Marekani waondoke Ukraine mara moja kwani Marekani haitapeleka majeshi kuwachukua/kuwaokoa!

4-Mambo yanaweza kwenda hovyo haraka huko ukrain hivyo wamarekani waondoke haraka

5-Urusi ikiivamia Ukraine isahau mradi wake wa Bomba la gesi,yaani watafunga koki,

6-Na kauli kubwa kuliko zote iliyonishangaza ni hii:
- "Tunadili na moja ya jeshi kubwa Sana hapa duniani Sio magidi".

Nikikumbuka mwanzo.
Tulikua tunaambiwa kwamba .
"Safari hii wanamwacha tu ajaribu kuivamia Ukraine wampe kichapo"
Sasa nchi inayotegemewa kutoa kichapo imesema hitapeleka majeshi,sio tu kupigana na Urusi,Bali pia hata kupeleka majeshi kuwaokoa Raia wake.Aaisee hii sio Marekani ninayoijua Mimi.
Marekani kupitia rais wake anawaambia Raia wake walioko Ukraine kuwa "Tunadili na moja ya jeshi kubwa Sana hapa dunianii,Urusi so magaidi,ondokeni haraka Sana huko Ukraine,hatutamuma wanjeshi kuja kuwaokoa",

Sishabikii Vita ila Kuna vitu lazima tuviangalie kwa pande zote.

Kwa kifupi Ukraine na Wa Europe ndo washatoswa hivyo na mzee mzima.
Marekani watoto wa mjini hawatakagi ujinga kashawauzia wenzie mbuzi kwenye gunia yeye mwenyewe kala Kona.

Nimekuwekea hapo chini taarifa za BBC,AlJazeerra,new York times na Forbes. Kuona jinsi mzee mzima Marekani alivyowaachia msala wenzake.

BBC
Ukraine tensions: Joe Biden says US citizens should leave Ukraine now

Al jazeera

It’s not like we’re dealing with a terrorist organisation. We’re dealing with one of the largest armies in the world. It’s a very different situation and things could go crazy quickly,” he added.

Biden also repeated that under no circumstances would he send US troops to Ukraine, even to rescue US citizens in case of a Russian invasion.
We
“That’s a world war. When Americans and Russians start shooting one another, we’re in a very different world,” he said.

‘Military action may commence at any time’
His comments came as the US State Department, in a travel note updated on Thursday, advised citizens to leave Ukraine and urged those who remain to exercise caution due to “potential combat operations should Russia take military action”.

“Do not travel to Ukraine due to the increased threats of Russian military action and COVID-19; those in Ukraine should depart now via commercial or private means,” the advisory said.

There are four levels of US warning, the lowest being “exercise normal precautions”.

Ukraine is already at the highest “do not travel” level because of COVID-19 and tensions with Russia. But for US citizens already in Ukraine, the previous advisory said they “should consider departing” from the country.

New York Times

Biden Warns U.S. Won’t Send Troops to Rescue Americans in Ukraine
“American citizens should leave, should leave now,” the president said in an NBC interview, adding that rescues in a conflict zone during a Russian invasion would risk “world war.”

Read in app

Forbes

That’s A World War’: Biden Says He Won’t Send Troops To Help Americans Evacuate Ukraine
Zachary Snowdon Smith
Forbes Staff
Business
I cover breaking news for Forbes

TOPLINE
President Joe Biden confirmed in an NBC interview Thursday the United States will not send troops to Ukraine to help evacuate Americans if Russia invades, warning a U.S. presence could spark “a world war,” one day after the White House reportedly approved a plan to use U.S. troops in neighboring Poland to help Americans flee Ukraine.
US-politics-BIDEN-INFRASTRUCTUREUS-politics-BIDEN-INFRASTRUCTURE
President Joe Biden speaks about Russia and [+]SAUL LOEB/AFP VIA GETTY IMAGES
KEY FACTS
Biden told NBC anchor Lester Holt he hopes Russian President Vladimir Putin is “smart enough” not to harm American citizens even if he’s “foolish enough” to invade, and he wants to avoid an evacuation scenario that could lead to clashes between American and Russian troops.
Saa nyingine tujifunze kutumia maarifa yetu vizuri. Urusi akivamia Ukraine US najua atakuwa anatoa msaada wa silaha na baadhi ya askari kisirisiri ila sitegemei US kuingia kwenye full scale war na Urusi.
Vita kati ya US na Urusi ni vita kubwa pamoja na kuwa US ana uhakika wa kushinda ila kukubali kuharibu uchumi wake kutokana na issue za Ukraine.
Hivi hata wewe ungekuwa raisi wa US utawaeleza watu nini kuwa unataka kupigana na Urusi ili Ukraine ajiunge na NATO?
Kukiwa na sababu za msingi za US kuivaa Urusi atafanya vile na atampasua mchana kweupe, ila kwa Ukraine sijaona sababu za Marekani kupigana na Urusi.
 
Eti Atampausua kweupe Hovyo kabisa
Kirahisi tu hivyo
 
Siko upande wowote either Russia or USA and Co but tahadhari tu kwa mleta UZI; sisi Tanzania tumezoea propaganda za kisiasa, hasa za ccm na Chadema, walioendelea hizo propaganda za kisiasa waliachana nazo miaka zaidi ya 100 iliopita, wanafanya propaganda za kimkakati kama hivi, kwangu mimi naichukulia hi ni kama propaganda za kivita; Putin anafanya propaganda na USA as well; hakuna mkweli hapo, kwasasa kinacho endelea ni ushushushu/ujasusi wa hali ya juu ndio unafanya kazi, nina hakika CIA, M16, Mossaid na KGB hawalali, wanachunguzana ile mbaya. Unaikumbuka hotuba ya waziri mkuu na waziri wa ulinzi wa Israel miaka ya 70 wakati Idd Amini kawateka wale Wayahudi pale Entebe? Aliita press na wakahutubia kitu tofauti kabisa na walichokuja kufanya in 24 hours. Tusubiri, wababe wa dunia hawa ni hatari. MWishoni, najua Wazungu hawatapigana though wataachiana sana makovu ya kimahusiano
Sasa wewe mkuu ndio nimekuelewa. Watu walitaka Biden aje aongee hovyo atishie, hao anaosema hatawakomboa anawatishia wasizubae wakitarajiwa kuokolewa hatua za mwisho. Wataondoka na watakaobaki watakuwa wachache iwe rahisi kutuma military airlifters kuwabeba. Huwezi fly sorties ya maelfu ya raia kwa uhakika kwenye ardhi inayovamiwa na fast advancing enemy.

US spy planes kina U-2 na reconnaissance kina River Joint ziko bize ukanda wa Ulaya. Electronic surveillance iko juu na preparations zinafanyika. Hotuba inasema kitu tofauti kupunguza tensions na hata hivyo sioni dalili ya vita hapa.

Naongezea na historia ya WW2. Ujerumani ilisaini mkataba na USSR kwenye ile Molotov-Ribbentrop Pact mwaka 1939 kwamba hawavamiani. Mwaka 1942 Operation Barbarossa ikaanza Ujerumani akaishambulia USSR. Bado kulikuwa a assurance ya Hitler kwamba hatofanya vita hata Waziri Mkuu wa Uingereza Neville Chamberlain alikuwa na appesamement policy kwamba tusiwasumbue Nazi Germany hawana mpango na vita. Ndani ya mwaka Ujerumani ikavamia Poland na Ufaransa.

Kinachosemwa mbele ya media na kinachoendelea behind the scenes ni tofauti. Hata hivyo nadhani assesment inafanyika na hakuna atakayeanzisha vita
 
Sasa wewe mkuu ndio nimekuelewa. Watu walitaka Biden aje aongee hovyo atishie, hao anaosema hatawakonboa anawatishia wasizubae wakitarajiwa kuokolewa hatua za mwisho. Wataondoka na watakaobaki watakuwa wachache iwe rahisi kutuma military airlifters kuwabeba. Huwezi fly sorties ya maelfu ya raia kwa uhakika kwenye ardhi inayovamiwa na fast advancing enemy.

US spy planes kina U-2 na reconnaissance kina River Joint ziko bize ukanda wa Ulaya. Electronic surveillance iko juu na preparations zinafanyika. Hotuba inasema kitu tofauti kupunguza tensions na hata hivyo sioni dalili ya vita hapa.

Naongezea na historia ya WW2. Ujerumani ilisaini mkataba na USSR kwenye ile Milotov-Ribbentrop Pact mwaka 1939 kwamba hawavamiani. Mwaka 1942 Operation Barbarossa ikaanza Ujerumani akaishambulia USSR. Bado kulikuwa a assurance ya Hitler kwamba hatofanya vita hata Waziri Mkuu wa Uingereza Neville Chamberlain alikuwa na appesamement policy kwamba tusiwasumbue Nazi Germany hawana mpango na vita. Ndani ya mwaka Ujerumani ikavamia Poland na Ufaransa.

Kinachosemwa mbele ya media na kinachoendelea behind the scenes ni tofauti. Hata hivyo nadhani assesment inafanyika na hakuna atakayeanzisha vita
Bora wapigane tu,wapoteze resource za kuja kutukandamiza sisi Afrika.

Hadi leo naamini bila WW1 & 2 Afrika ingekuwa bado ni koloni watu wa ulaya.
 
Sema apa angekuwepo bwana trump ndo pangenoga
 
Wakati US na NATO zinaleta masihara,Russia imemaanisha kweli kweli! Pamoja na kwamba Russia imezihakikishia kuwa hakuna vita,lakini kinachowatia hofu ni kwa Russia kuzidi kuongeza harakati za kijeshi kwenye mpaka wake na Ukraine na hivi karibuni itaanza Mazoezi ya kijeshi ya siku 10 na Belarus kitu ambacho kinazidi kuzipa hofu zaidi.
Kwangu naona Vita itaisha kwa maneno tu,US na NATO wataomba poo ili yaishe!
Russia anachotaka ni NATO na marekani kuisaini ile document alowatumia. Njia pekee ya kuwafanya NATO waisaini ni kuendelea kuonyesha ubabe,,baasi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Saa nyingine tujifunze kutumia maarifa yetu vizuri. Urusi akivamia Ukraine US najua atakuwa anatoa msaada wa silaha na baadhi ya askari kisirisiri ila sitegemei US kuingia kwenye full scale war na Urusi.
Vita kati ya US na Urusi ni vita kubwa pamoja na kuwa US ana uhakika wa kushinda ila kukubali kuharibu uchumi wake kutokana na issue za Ukraine.
Hivi hata wewe ungekuwa raisi wa US utawaeleza watu nini kuwa unataka kupigana na Urusi ili Ukraine ajiunge na NATO?
Kukiwa na sababu za msingi za US kuivaa Urusi atafanya vile na atampasua mchana kweupe, ila kwa Ukraine sijaona sababu za Marekani kupigana na Urusi.
We jamaa kweli ni mchambuzi, umeongea kitaalamu na sio kishabiki.
 
Saa nyingine tujifunze kutumia maarifa yetu vizuri. Urusi akivamia Ukraine US najua atakuwa anatoa msaada wa silaha na baadhi ya askari kisirisiri ila sitegemei US kuingia kwenye full scale war na Urusi.
Vita kati ya US na Urusi ni vita kubwa pamoja na kuwa US ana uhakika wa kushinda ila kukubali kuharibu uchumi wake kutokana na issue za Ukraine.
Hivi hata wewe ungekuwa raisi wa US utawaeleza watu nini kuwa unataka kupigana na Urusi ili Ukraine ajiunge na NATO?
Kukiwa na sababu za msingi za US kuivaa Urusi atafanya vile na atampasua mchana kweupe, ila kwa Ukraine sijaona sababu za Marekani kupigana na Urusi.
Unarahisisha duh eti Russia atapigwa na Marekani.
Kwenye hili Kuna kitu hiki Cha Vita ya us na Russia Kiitwacho mutual destruction ikiwa na maana rahisi ya kutokupatkana kwa mshindi was Vita hi lakini kuangamia kwa mataifa hayo na dunia nzima
 
Saa nyingine tujifunze kutumia maarifa yetu vizuri. Urusi akivamia Ukraine US najua atakuwa anatoa msaada wa silaha na baadhi ya askari kisirisiri ila sitegemei US kuingia kwenye full scale war na Urusi.
Vita kati ya US na Urusi ni vita kubwa pamoja na kuwa US ana uhakika wa kushinda ila kukubali kuharibu uchumi wake kutokana na issue za Ukraine.
Hivi hata wewe ungekuwa raisi wa US utawaeleza watu nini kuwa unataka kupigana na Urusi ili Ukraine ajiunge na NATO?
Kukiwa na sababu za msingi za US kuivaa Urusi atafanya vile na atampasua mchana kweupe, ila kwa Ukraine sijaona sababu za Marekani kupigana na Urusi.
"Atampasua mchana kweupe."
Aisee.
Yaani Mmarekani atampasua Urusi,mchana kweupe.
 
Back
Top Bottom