Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu


Marekani mbwa koko tu! Hana jeuri kwa Putin. That guy is a smart spy. He knows what he is doing especially playing mind games with the Americans who fall right into his traps blindly.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahio leo marekani atumie busara sio
 
Siko upande wowote either Russia or USA and Co but tahadhari tu kwa mleta UZI; sisi Tanzania tumezoea propaganda za kisiasa, hasa za ccm na Chadema, walioendelea hizo propaganda za kisiasa waliachana nazo miaka zaidi ya 100 iliopita, wanafanya propaganda za kimkakati kama hivi, kwangu mimi naichukulia hi ni kama propaganda za kivita; Putin anafanya propaganda na USA as well; hakuna mkweli hapo, kwasasa kinacho endelea ni ushushushu/ujasusi wa hali ya juu ndio unafanya kazi, nina hakika CIA, M16, Mossaid na KGB hawalali, wanachunguzana ile mbaya. Unaikumbuka hotuba ya waziri mkuu na waziri wa ulinzi wa Israel miaka ya 70 wakati Idd Amini kawateka wale Wayahudi pale Entebe? Aliita press na wakahutubia kitu tofauti kabisa na walichokuja kufanya in 24 hours. Tusubiri, wababe wa dunia hawa ni hatari. Mwishoni, najua Wazungu hawatapigana though wataachiana sana makovu ya kimahusiano
 
Saa nyingine tujifunze kutumia maarifa yetu vizuri. Urusi akivamia Ukraine US najua atakuwa anatoa msaada wa silaha na baadhi ya askari kisirisiri ila sitegemei US kuingia kwenye full scale war na Urusi.
Vita kati ya US na Urusi ni vita kubwa pamoja na kuwa US ana uhakika wa kushinda ila kukubali kuharibu uchumi wake kutokana na issue za Ukraine.
Hivi hata wewe ungekuwa raisi wa US utawaeleza watu nini kuwa unataka kupigana na Urusi ili Ukraine ajiunge na NATO?
Kukiwa na sababu za msingi za US kuivaa Urusi atafanya vile na atampasua mchana kweupe, ila kwa Ukraine sijaona sababu za Marekani kupigana na Urusi.
 
Eti Atampausua kweupe Hovyo kabisa
Kirahisi tu hivyo
 
Sasa wewe mkuu ndio nimekuelewa. Watu walitaka Biden aje aongee hovyo atishie, hao anaosema hatawakomboa anawatishia wasizubae wakitarajiwa kuokolewa hatua za mwisho. Wataondoka na watakaobaki watakuwa wachache iwe rahisi kutuma military airlifters kuwabeba. Huwezi fly sorties ya maelfu ya raia kwa uhakika kwenye ardhi inayovamiwa na fast advancing enemy.

US spy planes kina U-2 na reconnaissance kina River Joint ziko bize ukanda wa Ulaya. Electronic surveillance iko juu na preparations zinafanyika. Hotuba inasema kitu tofauti kupunguza tensions na hata hivyo sioni dalili ya vita hapa.

Naongezea na historia ya WW2. Ujerumani ilisaini mkataba na USSR kwenye ile Molotov-Ribbentrop Pact mwaka 1939 kwamba hawavamiani. Mwaka 1942 Operation Barbarossa ikaanza Ujerumani akaishambulia USSR. Bado kulikuwa a assurance ya Hitler kwamba hatofanya vita hata Waziri Mkuu wa Uingereza Neville Chamberlain alikuwa na appesamement policy kwamba tusiwasumbue Nazi Germany hawana mpango na vita. Ndani ya mwaka Ujerumani ikavamia Poland na Ufaransa.

Kinachosemwa mbele ya media na kinachoendelea behind the scenes ni tofauti. Hata hivyo nadhani assesment inafanyika na hakuna atakayeanzisha vita
 
Bora wapigane tu,wapoteze resource za kuja kutukandamiza sisi Afrika.

Hadi leo naamini bila WW1 & 2 Afrika ingekuwa bado ni koloni watu wa ulaya.
 
Sema apa angekuwepo bwana trump ndo pangenoga
 
Russia anachotaka ni NATO na marekani kuisaini ile document alowatumia. Njia pekee ya kuwafanya NATO waisaini ni kuendelea kuonyesha ubabe,,baasi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa kweli ni mchambuzi, umeongea kitaalamu na sio kishabiki.
 
Unarahisisha duh eti Russia atapigwa na Marekani.
Kwenye hili Kuna kitu hiki Cha Vita ya us na Russia Kiitwacho mutual destruction ikiwa na maana rahisi ya kutokupatkana kwa mshindi was Vita hi lakini kuangamia kwa mataifa hayo na dunia nzima
 
"Atampasua mchana kweupe."
Aisee.
Yaani Mmarekani atampasua Urusi,mchana kweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…