Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu

Unaishabikia nchi inayoharibia wenzake maisha yao??
Kweli ipo kama hata kwenu mko kama warusi ukiona jirani anaendelea mnaenda kumfungia koki zote anabaki maskini usishabikie mateso ya mtu ni mbaya
Kama unaendelea kwakuhatarisha usalama wa watu ushughulikiwe tuu
RUSSIA alichelewa kweli kweli hili analolifanya alitakiwa alifanye hata miaka kumi nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…