Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spain[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Habarini wadau,
Huwa sipatikani kwa urahisi kwenye hili forum la JF Chef. Katika pita pita zangu niliona habari ya kuvutia kutoka Marekani.
Kama mjuavyo, kuna baadhi ya nchi duniani zinazo wapa watoto chakula cha mchana bure( au kwa bei ya chini), hasa nchi tajiri. Huko Marekani First Lady Michelle Obama amekuwa na mradi yake maalum inayoitwa Healthy Hunger-Free Kids(Watoto walio na afya na bila njaa). Huo mradi ameufatilia hadi bungeni likapitishwa rasmi kwenye Congress(Bunge) ya Marekani kama Healthy Hunger-Free Kids Act ya 2010. Rais Obama ameipitisha huo mwaka.
Hata hivyo wakumponda ponda hawakosi. Wamezindua kampeni ya kumponda First Lady wakitoa mifano ya school luch zilizo bora kuliko za Marekani, kusudi kumshusha hadhi na uchapakazi wa huyo rais Obama.
Tizama picha:
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
(ndiyo ugiriki!!!. lile nchi lililo filisika mwaka juzi!!!)
![]()
![]()
Photos Of School Lunches From Around The World Put America To Shame
Nswalu...aka mlenda wa kusaganimeona ugali. lingine ni mboga ipi?
Tanzania ni uji!Aaaagh!Unajifanya ujui au unataka tuzalilike humu Oyaa! mleta post no tanzania food here a hell no!!!!!!Please usilete picha za chakula tizii i'm berging u!usisahau na Tanzania
Huku ni kutudhalilisha watanzania!Mnagoogle picha halafu mnachomekea hakuna shule yoyote wanaokula hicho chakula hapa tizii tuweni wazalendo jamani!.![]()
Tanzania
mkuu samaritan kesha uleta. Tusaidiane picha.Toa uhalisia. Chakula muhimu.Tanzania ni uji!Aaaagh!Unajifanya ujui au unataka tuzalilike humu Oyaa! mleta post no tanzania food here a hell no!!!!!!Please usilete picha za chakula tizii i'm berging u!
Huku ni kutudhalilisha watanzania!Mnagoogle picha halafu mnachomekea hakuna shule yoyote wanaokula hicho chakula hapa tizii tuweni wazalendo jamani!.
Hoja ni meza au chakula cha lunch???!!!! meza ni background tu mkuu.Mkuu hata hizo picha walizoziweka hazina ukweli wowote, angalia kwa makini meza za USA, ITALY, South Korea, GREECE na SPAIN, hiyo ni meza moja wamefanya kubadilisha badilisha chakula tu kwenye sahani ya aina moja. Unataka kusema sahani za watoto wa shule kwenye hizo nchi zinafanana?
Vile vile meza ya Brazil na Finland ni meza ileile. Ndio maana nikasisitiza kama nchi tukiachana na hizi picha tunamkakati gani wa kuhakikisha watoto wanapata chakula bora shule?
Shukrani
Hoja ni meza au chakula cha lunch???!!!! meza ni background tu mkuu.
Hizo picha ziliwasilishwa toka upande husika duniani. Background ya meza imewekwa for artistic effect yaani kuna mbinu nyingi ya kuboresha au kurembesha picha!!!! Bado nangojea mnitolee picha za uhalisia za chakula ya lunch shuleni. Hivi nanyi hamuoni tuko nyuma hadi kwa ishu za chakula shuleni.Hata mimi hoja yangu ipo hapo kwenye lunch kama umenisoma hadi mwisho. Hizo meza nilikua namjibu aliyesema tumeweka picha zisizo halisi. Nikamwambia hata hizo picha zao walizoweka hazina uhalisia ni za kutengeneza, hapo ndio ilipokuja hoja ya meza. Hizo picha zimetengenezwa eneo moja wamebadili menyu tu.
Shukrani