Ulimwengu Jenerali....Ulimwengu ulimwengu....
Umetaja rafiki zako, ila mifano unatupa yakina Obama??Habari wakuu.
Hapa kariakoo nina marafiki kadhaa ambao Kwa asilimia kubwa wameishi Marekani tabia/mwenendo yao inasikitisha na kutisha at the same time they have a Terrible/Awful/Terrifying/Horrible Behavior.
Further more hata baadhi ya watoto wao wa huko nao ni vile vile mfano watoto wa Will Smith na Baraka Obama.
Naamini kwasasa sehemu kubwa Duniani kumeporomoka kimaadili lakini Marekani naona sio salama zaidi wakuu.
And unfortunately they call it freedom.
Mkuu hayo maeneo yote uliyo yataja sababu kubwa ni umasikini. Lakini Marekani they everything and yet ni afadhali vijana wetu huku Wakitanzania.WE umeona watoto wa pande za buza huko kwa mpalange mburahati mbagala vingunguti aisee utasema bora hao wamarekani