We hujui kwamba 150x4 jibu haliwezi kuwa 900?Hujui kodi ya TRA hulipwa robo ya nini??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hapana ningependa tu alipe anachostahiliWewe ni TISS??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Wewe kama nani??Hapana ningependa tu alipe anachostahili
Bongo hatujafundishwa kulipa kodi kwa hiari.Ujuaji mwingi Wabongo bana tuna shida sana hafahamu pia kila raia mwenye kipato umri uliozidi 18 anapaswa kufanya marejesho ya kodi (tax returns)
Mlipa kodi mwenzieWewe kama nani??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
We baki tu humuhumu kwa MaxMlipa kodi mwenzie
Ahsante, Mello amenipokeaWe baki tu humuhumu kwa Max
#YNWA
#YANGA_BINGWA