MAREKANI tajiri hupimwa kwa kodi analipa TRA sio kama Arusha mtu anapimwa kwa pombe anakunywa grocery kwa mromboo hongera Bakheresa

MAREKANI tajiri hupimwa kwa kodi analipa TRA sio kama Arusha mtu anapimwa kwa pombe anakunywa grocery kwa mromboo hongera Bakheresa

Ujuaji mwingi Wabongo bana tuna shida sana hafahamu pia kila raia mwenye kipato umri uliozidi 18 anapaswa kufanya marejesho ya kodi (tax returns)
Bongo hatujafundishwa kulipa kodi kwa hiari.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Jamani wakazi wa Morombo tumewafanya nini 😃
 
Back
Top Bottom