Marekani uchaguzi uko wazi hata mtu akishindwa ni rahisi kukubali. Kwetu maafisa na viongozi wanashiriki kuiba kura

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Assistants Returning Officers ambao wengi ni maafisa watendaji wa kata wakishirikiana na wakurugenzi polisi na usalama waliwashurutisha walimu kuongeza majina ya wapiga kura hewa kwenye vituo sasa katika mazingira kama hayo hata aliyeshinda anajua kwa dhati uhalifu uliofanyika mpaka yeye akashinda msifananishe upumbavu wenu wa uchafuzi na UCHAGUZI wa USA.
 
Chaguzi zetu toka Enzi za mwendanzake zinaendeshwa kama maelekezo ya kijeshi. Huwezi kuhoji.
 
Assistants Returning Officers ambao wengi ni maafisa watendaji wa kata wakishirikiana na wakurugenzi polisi na usalama waliwashurutisha walimu kuongeza majina ya wapiga kura hewa kwenye vituo sasa katika mazingira kama hayo hata aliyeshinda anajua kwa dhati uhalifu uliofanyika mpaka yeye akashinda msifananishe upumbavu wenu wa uchafuzi na UCHAGUZI wa USA.
Tanzania hakuna uchaguzi kuna maigizo tupu
 
Back
Top Bottom