Marekani, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani na Italia zilitoa taarifa ya pamoja kuiangukia Iran irudi nyuma washambulie Israel

WANAFIKI HAO HAWANA LOLOTE NDIO WANAIHARIBU DUNIA
 
Netanyahu alikuwa anadhani Iran ni kama Gaza, kila akianzisha chochoko na Iran anajua Marekani na Ulaya zitaingia vitani wamembia Iran ni hatari siyo Hamas😀
 
Netanyahu alikuwa anadhani Iran ni kama Gaza, kila akianzisha chochoko na Iran anajua Marekani na Ulaya zitaingia vitani wamembia Iran ni hatari siyo Hamas😀
Wamekula kichapo mpaka hawana hamu na ayatola,

Wamechanganyikiwa jana wameenda kupiga shule yenye kuhifadhi wakimbizi lakini bado watakuja wayahudi weusi watawasifia,
Maloooofa kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…