Marekani, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani na Italia zilitoa taarifa ya pamoja kuiangukia Iran irudi nyuma washambulie Israel

Wanaukumbi,

Sisi viongozi wa Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italia tulijadili hali ya Mashariki ya Kati. Tulielezea uungaji mkono wetu kamili kwa juhudi zinazoendelea za kupunguza mvutano na kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kuwaachilia mateka huko Gaza.

Tuliidhinisha wito wa pamoja kutoka kwa Rais Biden, Rais Sisi wa Misri, na Amir Tamim wa Qatar wa kufanya upya mazungumzo baadaye wiki hii kwa lengo la kuhitimisha mpango huo haraka iwezekanavyo, na kusisitiza hakuna wakati zaidi wa kupoteza. Vyama vyote lazima vitekeleze wajibu wao.

Aidha, utoaji na usambazaji usio na vikwazo unahitajika. Tulionyesha uungaji mkono wetu kwa ulinzi wa Israel dhidi ya uvamizi wa Iran na dhidi ya mashambulizi ya makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Iran.

Tuliitaka Iran isimamishe vitisho vyake vinavyoendelea vya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Israel na tukajadili madhara makubwa kwa usalama wa eneo iwapo shambulio kama hilo litatokea.

JOE BIDEN, RAIS WA MAREKANI
EMMANUEL MACRON, RAIS WA UFARANSA
OLAF SCHOLZ, KANSELA WA UJERUMANI
GIORGIA MELONI, WAZIRI MKUU WA ITALIA
KEIR STARMER, WAZIRI MKUU WA UINGEREZA.

Hawa viongozi wa Ulaya na Marekani wote wanafafiki tu Kwa nini hawatoi tamko kwa ajili ya israel wafanya mauaji ya watoto huko Gaza? Israel inaishambulia kila siku Iran. Iran haina ya haki kujibu.

Iran imema hamna wa kuwazuia kulipa kisasi.

Kuna uzi wangu huko Iran kapiga kwenye mshona niliongelea hayo mataifa hayo ndio yanafanya genocide, Israel ni tools yao tu.

Iran nashaka leo atalipa sababu nimesikia hiyo deal ya peace haiwahusu wao, Iran kisha sema kila kitu kipo ready wanasubiri amri ya Ayatollah Ali Khomen awape gree light, vitu vianze kushuka. Navyo sikia zitatumika ni Hypersonic missiles undetected on its way to the target
 
Napenda sana misimamo ya wayahudi likija suala la kulipiza. Ukiwachokoza au ukiwaumiza wanakaa ndani wanajadiliana halafu wanakubaliana namna ya kukujibu wanakaa kimya wanaendelea na mipango yao kimyakimya halafu majibu yanaonekana baadaye.
Hiki ndo walikifanya kwa Houthi ambao hadi sasa nahisi hawana mpango wa kutuma drone nyingine Tel Aviv.
Sasa ndugu zangu waajemi wao kila siku kelele, kisasi ni haki kisasi ni haki. Hakuna ambaye hajui kwamba ni haki yako kulipa kisasi, kaa kimya panga mipango yako, lips kisasi halafu subiri uone nini kitafuatia.

Hizi kelele huko X mara nchi fulani inanibembeleza ni sifa za kijinga na hazina maana yoyote. Adui yako hawezi kukubembeleza usilipe kisasi halafu na wewe unajiona mtabe.
 
Kweli Iran tishio wote hao wanamuomba asiipige Israeli.
Siyo Iran ni tishio wanahofia majibu yaIsrael pia.

Kumbuka Israel ilishasema nyuklia iko tayari.

Ukifikiri kidini kwenye haya mambo tayari utaonekana huna akili.
 
Kuna uzi wangu huko Iran kapiga kwenye mshona niliongelea hayo mataifa hayo ndio yanafanya genocide, Israel ni tools yao tu.

Iran nashaka leo atalipa sababu nimesikia hiyo deal ya peace haiwahusu wao, Iran kisha sema kila kitu kipo ready wanasubiri amri ya Ayatollah Ali Khomen awape gree light, vitu vianze kushuka. Navyo sikia zitatumika ni Hypersonic missiles undetected on its way to the target
Pole kudhan hao WaYahudi na Ulaya hawaijui hiyo technlogy
 
Wapi iliposemwa "wamemwangukia Iran❓" lugha hii inawatesa sana nyie jihadists. Iran imeagizwa usithubutu kuishambulia Israel.
Nini mana ya back down? Kama si kumuambia please achana na lengo lako. We nenda kasome unaonyesha kizungu ulikuwa una cheat tu ili ufaulu 😄
 
Why is the west afraid of going to war with Iran , every simulation they did with Iran they ended up losing
Let the Persian state first learn to defend her people before thinking of engaging in war with its adversaries, there is no evidence of Iran prevailing in any war with any of its rivals within immediate memory.
 
Nini mana ya back down? Kama si kumuambia please achana na lengo lako. We nenda kasome unaonyesha kizungu ulikuwa una cheat tu ili ufaulu 😄
Nita-cheat namna gani wakati sijasoma madrassa..!?
 
Nini mana ya back down? Kama si kumuambia please achana na lengo lako. We nenda kasome unaonyesha kizungu ulikuwa una cheat tu ili ufaulu 😄
phrasal verb. "If you back down, you withdraw a claim, demand, or commitment that you made earlier, because other people are strongly opposed to it"
Please be informed accordingly.
 
Aliye back down nani? Na aliyesema back down nani? We bwege kweli.
 
Back
Top Bottom