Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah wapi! Kidume huwa hasikilizi kelele za wapuuziKweli Iran tishio wote hao wanamuomba asiipige Israeli.
Roho mbaya tunafanyiana sisi wenyewe wa Afrika na hasa Tanzania chini ya CCM,walimpiga Lissu risasi bila kosa na kupora ubunge wake na sasa wamewakamata viongozi wote wa ngazi za juu na wanachama wa CHADEMA bila kosa lolote.Sema hawa mabeberu wana roho mbaya mno
Iran ilishajibu kwa kutumia ndege 300 zizokuwa na rubani pamoja na makombora, baada ya kuuliwa makamanda wa jeshi lake katika ubalozi wa Iran nchini Syria,Israel nao wakajibu kwa shambulio ambalo liliitwa shambulizi la kitoto na Iran,ndipo Israel ilipofanya shambulizi moja tu lililochomoa uhai wa kamanda wa Hama's mjini Tehran na hiki ndicho kilichowakasirisha sana wairan,cha kiongozi wa Hama's kuuawa kwenye mji wao mkuu ambako ndiko kuna ulinzi mkali zaidi ni kama vile wamevuliwa nguo.Iran ina haki ya kujibu nandio inatakiwa iadabishwe israhell ili iwe na heshma
Watu tunajadili mambo ya kimataifa wewe unaingiza upumbavu hapa.Roho mbaya tunafanyiana sisi wenyewe wa Afrika na hasa Tanzania chini ya CCM,walimpiga Lissu risasi bila kosa na kupora ubunge wake na sasa wamewakamata viongozi wote wa ngazi za juu na wanachama wa CHADEMA bila kosa lolote.
Haya mambo yako deep mno.Kwani sisi ni watoto wadogo hadi tukubali watunyanyase?
Mashambulizi yakigaidi hua hayaangalii ulinzi mkali wala ulinzi dhaifuIran ilishajibu kwa kutumia ndege 300 zizokuwa na rubani pamoja na makombora, baada ya kuuliwa makamanda wa jeshi lake katika ubalozi wa Iran nchini Syria,Israel nao wakajibu kwa shambulio ambalo liliitwa shambulizi la kitoto na Iran,ndipo Israel ilipofanya shambulizi moja tu lililochomoa uhai wa kamanda wa Hama's mjini Tehran na hiki ndicho kilichowakasirisha sana wairan,cha kiongozi wa Hama's kuuawa kwenye mji wao mkuu ambako ndiko kuna ulinzi mkali zaidi ni kama vile wamevuliwa nguo.
Unajifariji huku una maumivu makaliMashambulizi yakigaidi hua hayaangalii ulinzi mkali wala ulinzi dhaifu
Magaidi hua hawatangazi wakitangaza watu wanachukua tahadhari
Uliona trump alivyoshambuliwa je hakukua na ulinzi ila jamaa ilibakia sent afyekwe
Israhell ataadhibiwa kwa ugaidi aloufanya
Wewe uliliona shambulio la israhell dhidi ya iran
Israhell hii hii ishambulie halaf usione kwenye media inavyotaka sifa isokua nazo
Ila Israel kumuua Haniyeh Tehran akiwa na mpenzi wake wa kiume wakilala pamoja imewaathiri sana kisaikolojia Iran ukizingatia lilikuwa eneo la jeshi linalolindwa kuliko maeneo yote Iran lakini mteule akafiltrate maamaee.
Usikute hata huyo Ayatollah ni Mossad agent. Watu hawaaminiani kabisa Iran.
Wanajipendekeza ?wakati huyo Israel mpk silaha anaomba kusaidiwa halafu anapgana na wanamgamboWanajipendekexa tu, Israel yeye hajali anapiga matukio tu
Sorry hivi hamna source nyingine zaidi ya hiyo?
Hivi hata akili za kuzaliwa tu hamnaga , kama angekuwa na uwezo wa kupigana na jeshi mbona nchi kibao Inakuja kuomba iran asimpige?Iran angekaidi pia wangemuacha apigike kama Gaza , Hamas waliaswa kuachia mateka ila walikaidi , Iran amejiongeza
Wewe mtoto kawadanganye wenzio kule kwenye ghahawa mkilumagia na kashata.. km Iran ana uwezo angeuliwa Rais Rais ?Nani kakwambia Iran wamekubali? Iran kasema lazima walipe kisasi.
Bendera nyekundu bado inapepea?!Nani kakwambia Iran wamekubali? Iran kasema lazima walipe kisasi.
Hao wanamuomba asiishambulie Israel kinafki...ili wasibebeshwe lawama na wapga kura wao na jamii ya kimataifa. Huyo Iran ajaribu tu kuishambulia Israel aone kama hawajamgeuka mchana kweupeHALAFU NA YEYE KAKUBALI ILHAL AMEDHALILISHWA SANA NA ISRAEL.YAANI HAO HAO MAKAFIR TENA NDO ANAWASIKILIZA. ALIPANDISHA BENDERA NYEKUNDU.WEEK SASA IMEPITA HAKUNA MAAMUZI. MBWA KOKO HUWA ANA BWEKA ZAIDI KULIKO KUUMA.MWENZAKE HAONGEI.ANAGONGA ANARUDI ANASUBIRI. ANAGONGA TENA ANARUDI ANASUBIRI.
Wanajipendekeza ?wakati huyo Israel mpk silaha anaomba kusaidiwa halafu anapgana na wanamgambo
Usije ukajidanganya na kufikiri kwamba izo Nchi zinaumizwa na kinacho endelea katika Mgogoro wa Mashariki ya kati na zinaipigia magoti Irani.Kweli Iran tishio wote hao wanamuomba asiipige Israeli.
NDO NACHOWAAMBIA HAWA VILAZA. KIMYA KIMYA WANAMUANDAA ISRAEL AJIBU. IRAN IPO HOI HAIPO SAWA KIUCHUMI HAIWEZI KUUVAA MKENGE. INAJITUTUMUA TU.Hao wanamuomba asiishambulie Israel kinafki...ili wasibebeshwe lawama na wapga kura wao na jamii ya kimataifa. Huyo Iran ajaribu tu kuishambulia Israel aone kama hawajamgeuka mchana kweupe