Marekani, Uingereza na China zaitaka SGR

Mfumo wa bunge na uchaguzi mkuu ni matumizi mabaya sana ya Kodi zetu kwani hauna tija.
Ni Bora tubinafsishe mifumo yote ya kutuongoza ili tupige hatua.
Tuajiri raisi atoke Israel, Waziri Mkuu atoke USA,mawaziri watoke Japan,UK, Korea,India,Ulaya nk tuwaajiri kwa mkataba watusaidie kutuongoza.
Haya ya kuiba Kodi zetu wanaenda nunulia mabus,malori kudhamini timu za mpira nk si sawa huku wakiogopwa na sheria si sawa kabisa.
Tusitegemee maendeleo yeyeto kwa mifumo iliyopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…