Kwa habari za akina yeriko na propaganda machines wa Urusi ni kwamba Nato walikuwa wakiilazimisha Ukraine kujiunga na Nato waivamie Urusi ili waibe mafuta na gesi ya Urusi. What a shame!!.
Tanzania yenye jeshi goi goi na uchumi Dumavu ina dhahabu, almas na Tanzanite lakini Nato haijawai kuja kutuvamia kuiba rasimali zetu ila ajabu walikuwa na plan za kuiba gesi na mafuta ya urusi nchi ambayo ina nyuklia.
Ni Mwizi gani ataacha vunja duka lenye geti bovu ili aende kuvunja duka lenye ulinzi mkali, cct camera na mlinzi wa KK na bunduki yake ilhali duka ilo lina bidhaa zenye thamani Sawa na lile Duka lenye geti bovu?
Mexico nchi yenye jeshi bovu linalopigwa na wauza Madawa ya kulevya ila inamafuta mengi na ipo jirani na US(Mwizi) ila sijawai sikia Mexico ikisema US inaiba mafuta yake, why mafuta ya Urusi tu?
Dunia kuna propaganda za ajabu sana,ila kama unatoka kwenye jamii yenye akili ni ngumu kunaswa na propaganda dhaifu kiasi hiki.
Ikiwa ujui shetani anavyotenda kazi itazeme Urusi na kundi lake na mashariki wake .
NB: Ombi la Ukraine kujiunga na Nato halikuanza kukataliwa leo, Limekuwa likikataliwa hata kabla Urusi haijaivamia Crimea. Nato imekuwa ikiikatalia Ukraine kujiunga na nato kwasababu tayali ina mgogoro na Urusi.
A word is enough for the wise.