Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Safi sana hio ndio dawa yao!Maana yake wanakufanya unakua nyoka la kibisa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana hio ndio dawa yao!Maana yake wanakufanya unakua nyoka la kibisa...
Mashoga wakatwe uume? Sasa hapo si utakua umewasaidia tu coz wao hawana kazi na huo mjegeje.Safi sana hio ndio dawa yao!
Na mashog, wangefanyiwa hivo ingependeza sana
Kwa huu usenge unaoendelea hapa Tanzania ni Bora hiyo sheria ije fasta 👇👇Kama Taifa kubwa linatunga sheria Kali kiasi hiki ,inakuaje hapa Tanzania ambapo Watoto wanafanyiwa vitendo vya ajabu na hakuna adhabu yeyote ya maana?
Kuna Mbunge alipendekeza adhabu ya kunyongwa lakini Kwa uzoefu wa Tanzania Wakuu huwa hawatekelezi hizo adhabu,kumbe badala yake tuanze kuwahasi na kifungo Juu.
Hongera sana Beberu.👇👇
=======
Taarifa kutokea nchini Marekani zinaeleza kuwa kuanzia mwezi Agosti mwaka huu watu watakaokutwa na hatia ya kuwalawiti Watoto wanaweza wakaamriwa kuhasiwa kwa njia ya upasuaji pamoja na kifungo cha jela.
Wanasiasa katika Jimbo hilo wamepitisha Muswada huo Jumatatu wiki hii ambao utawaruhusu Majaji kuamuru watu waliolawiti watoto chini ya miaka 13 wahasiwe kwa njia hiyo mpya.
Ikiwa Muswada huo utakuwa sheria basi wale wote watakaokutwa na hatia kuanzia Agosti Mosi watahukumiwa chini ya sheria hiyo.
Majaji katika Jimbo la Louisiana wamekuwa na uwezo wa kuamuru mtu yoyote aliyekutwa na hatia ya uhalifu wa kulawiti watoto kuhasiwa kwa kutumia kemikali. Hata hivyo sasa adhabu hiyo itakuwa kali zaidi.
Kitenge
Mwehh kumbe ndio wanakua kama wamapiga chura teke??? Doh!
Nilijua kuhasiwa wanamalizwa hamu wasiwe nazo kabisa!
Santo sana kwa mwongozo
Cc Smart911
Kwa Hali hii tumekwisha na wanapenda Watoto Kwa sababu ni rahisi kuwafanya Mashoga wangapi wadogo 👇👇Tena wahasiwe kwa kukatwa na kisu sehemu zao, ziondolewe wasiwe na chochote.