Marekani: Urusi ikitumia Nyuklia tutaingilia kati moja kwa moja

Mmmh kweli marekani anajua kutoa chambo wenzake

Yaani anasubiri hadi nuclear wakati mrusi amemuharibia nchi yake mwenzake na bado hajaingilia moja kwa moja anazunguuka mbuyu

Nadhani USA pamoja na washirika wake NATO walipaswa kuingilia kati mapema tu ili kumkomesha Putin

Lakini kukausha kwao kumenifundisha jambo kuwa inaweza kuwa walipima wakaona wataharibu nchi zao zaidi kuliko kuzisaidia

Naamini kama ni Taifa dhaifu la ulaya ndio lingekuwa limevamia nchi nyingine ambayo inaungwa mkono na west naamn ingechapika sana moja kwa moja bila USA na Nato kuzunguuka mbuyu

Kama waliweza kuingia direct Syria,Iraq,Afghanstan,Somalia n.k kwa kigezo cha kulinda haki za wanachi basi hata Ukraine kuna raia pia wanaohitaji ulinzi wa USA na washirika wao.
 
Tunanyanyasana hapa duniani jamani. Yani mataifa yayomiliki hizi silaha wanatutisha sana.
 
Si ajabu kuna kitu walikitaka. Ndio maana Ukraine inalaumiwa kwa kuingia mkenge huu. West hawana nia ya dhati kuwasaidia. Ukute wanatest silaha zao tu, na pia kuipima Urusi.

Fikiria wakilianzisha sasa hivi, Mrusi tayari anatoka jasho kitaambo, wao ,NATO, ndio kwanza wapo fresh.
 
Mandonga anapendwa sana kwa sababu hajawahi kuishiwa mbwembwe na maneno lakini inapokuja kwenye really fight ni vichekesho
 
Mbona umekasirika Sana,Daa unatakiwa uende Kwa rasi Simba ukasome English ya pre form one,
 
Wa Kenya ndio wanawadharau wa Tanzania kwa sababu ya maujinga ya watanzania, kama huyu mleta hii thread.

Na ujinga haujifichi.
Wa Kenya waache turudi kwenye kauli ya Mbabe wa dunia the mighty USA [emoji631].
 
 
..US wanazungumzia kwamba kutakuwa na Catastrophic consequences . Wewe unabadili maneno na kusema kwamba US wamesema wataingilia moja kwa moja.
Mbona wewe ndo unapotosha kwa kukatisha yaliyozungumzwa:-

"If Russia crosses this line, there will be catastrophic consequences for Russia. The United States will respond decisively," Sullivan told NBC's "Meet the Press" program.
 

Jamaa kakuhoji swali la maana sana - sasa haya
 
Putin je, si alitishia kuwa atakayesaidia Ukraine silaha ole wake!
Wababe wamepeleka misaada mingi wazi wazi ikiwemo silaha, Putin kimyaaa!
 
Pro Russia ni watu wenye hasira sana. Kwa sababu hawana hoja za msingi wamebaki kuwa watukanaji, kuita wengine mashoga na kujaza conspiracies.
Sasa Nkuba, mimi naona kama umekasirika sana bila sababu za msingi, hadi kuhoji sanity ya mleta mada!

Mimi nataka nikuulize wewe ku "respond decisively" maana yake nini?
 
Tuupe muda nafasi ndio tutajua nani mshindi katika hii vita

Maana propaganda ni kubwa sana kuliko uhalisia.
 
Putin je, si alitishia kuwa atakayesaidia Ukraine silaha ole wake!
Wababe wamepeleka misaada mingi wazi wazi ikiwemo silaha, Putin kimyaaa!
Wote USA na RUSSIA wanajuana ndio maana wanaogopana

Naamini kabsa kama Russia angekuwa dhaifu Marekani ingekuwa ishaingia yenyewe kumpiga ila imepima ikaona maji marefu

Na hata Russia kama ingeona Marekani ni dhaifu na inagawa misaada kwa adui ingekuwa imeshampiga tayari

Ila all in all katika hii Vita ndio nimejua Putin ni mbabe kweli sio masikhara

Kwa wenye akili timamu wanajua ni ngumu sana kwa kuanzisha maafa ulaya tena ulipige Taifa linaloungwa mkono na marekani halafu usivamiwe kivita

Tukumbuke ni China alijaribu tu kuitishia Taiwan,Marekani alionesha kila aina ya mbwembwe kuonesha kuwa yupo pa1 na Taiwan.
 
Shibe ya Amani Kaka hiyo ndo imewatawala, upumbavu mtupu. Vimezaliwa kwenye Amani vimekulia kwenye Amani havijawahi kuonja joto ya vita wala baa la njaa hivyo vinaona Dunia vimeimiliki ujinga mtupu.
 
kwani hao wakenya ndo wana akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…