Watajibu vilivyo.Sasa Nkuba, mimi naona kama umekasirika sana bila sababu za msingi, hadi kuhoji sanity ya mleta mada!
Mimi nataka nikuulize wewe ku "respond decisively" maana yake nini?
Kumjibu Russia baada ya Ukraine kuangushiwa bomu?
Bila shaka itakuwa Ni annihalation waitakayo Wamarekani! Hapana si Wamarekani TU
Russia
Ulaya yote itaangamia