Watajibu vilivyo.Sasa Nkuba, mimi naona kama umekasirika sana bila sababu za msingi, hadi kuhoji sanity ya mleta mada!
Mimi nataka nikuulize wewe ku "respond decisively" maana yake nini?
You're shamelessly comparing me with a mass murderer..!! you must have skipped your psychotic dose.It is easy for you to go to the hell than putin
Asa Russia alichomzidi China ninini?wote ni walewale isipokuwa mmoja ni silent na mwingine ni barking dog.Wote USA na RUSSIA wanajuana ndio maana wanaogopana
Naamini kabsa kama Russia angekuwa dhaifu Marekani ingekuwa ishaingia yenyewe kumpiga ila imepima ikaona maji marefu
Na hata Russia kama ingeona Marekani ni dhaifu na inagawa misaada kwa adui ingekuwa imeshampiga tayari
Ila all in all katika hii Vita ndio nimejua Putin ni mbabe kweli sio masikhara
Kwa wenye akili timamu wanajua ni ngumu sana kwa kuanzisha maafa ulaya tena ulipige Taifa linaloungwa mkono na marekani halafu usivamiwe kivita
Tukumbuke ni China alijaribu tu kuitishia Taiwan,Marekani alionesha kila aina ya mbwembwe kuonesha kuwa yupo pa1 na Taiwan.
Ulaya yote itaangamia kivipi?Watajibu vilivyo.
Kumjibu Russia baada ya Ukraine kuangushiwa bomu?
Bila shaka itakuwa Ni annihalation waitakayo Wamarekani! Hapana si Wamarekani TU
Russia
Ulaya yote itaangamia
unatoa mbwa nyuma kabisa. Unatumia tafsiri ya neno kwa neno badala ya kuchukua kilichokusudiwa kusemwa. Umesomea wapi wewe kenge? Unajikuta unajua sana huku mafi ya kuku tu pimb wew basi kaolewe na hao wakenya wakujaze mimbaWewe ndiyo una shida sasa hapa,kwamba unajiona umezaliwa Buckingham palace unajua sana lugha ya Malkia kuliko wengine hadi uwatolee lugha ya madharau.Wewe toa ulichoelewa tu lakini kujifanya ni mzaliwa wa Windsor na kuwatolea kejeli wengine ni udhaifu mkubwa katika kujenga hoja zako.