Basi we jamaa unajikuta kubwa la ma secretary wa white house.. Mwandiko wa Trump unautambua kwa vitu gani?
Sikaweka source hapo tembelea huko ukajionee mwenyewe MKUU
ila msaada wameomba lakini nakwasasa hawatathubutu kumuekea CHINA Vikwazo hata vya sekunde moja maana ndio wananchi wao watagundua zaidi kama wanaendeshwa namaviongozi mijinga namipuuuziAlafu huwezi amini, utasikia Pompeo naye anatangaza Vikwazo dhidi ya China.
Marekan huwa hawaangalii hayo, Rafiki wake wa kweli ni Israel na Uingereza
"What is yours will always be yours no matter what "
ila msaada wameomba lakini nakwasasa hawatathubutu kumuekea CHINA Vikwazo hata vya sekunde moja maana ndio wananchi wao watagundua zaidi kama wanaendeshwa namaviongozi mijinga namipuuuzi
Sent using My COVID-19
Kwani huo ushirikiano sio msaada[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Shule mlisomea ujinga au wapi kaomba msaada kama ni iyo tweet amna sehemu alipo omba msaada ..tifauti na kuongea na kushirikiana tu......