STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Kwann mnapoambiwa ukweli mnakua mnaumia sana kiasi cha kutoka povu, kuna kipi cha uongo hapo ?? Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli kitu ambacho lazima tuwambie ukweliAcha mihemko... Unatatalika kama mabisi vip?
Laser weaponsSilaha gani ambayo inahangaikiwa kutengenezwa ikiwa na sifa hizo?
Maana navyojua ili hilo liwezekane basi hiyo silaha inatakiwa iwe weightless
Ndio ina speed ya light?Laser weapons
Ushaambiwa hizo ni silaha za mionzi,mwanga pia ni mionziMkuu hizi silaha ndio zina speed ya mwanga?
Kwa akili hii u awezaje kuishi inashangaza sana au unakula nyumbani kwa baba na mama badoHii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
Mkuu niambie exactly speed ya hiyo silaha ni ipi?Ushaambiwa hizo ni silaha za mionzi,mwanga pia ni mionzi
When we talk about laser weapons we talk about beam of light Kwa hiyo speed ni hiyohiyo ya mwanga.Mkuu niambie exactly speed ya hiyo silaha ni ipi?
Laser weapons Marekani wanayo,wachina wanayo hata Warusi wanayo.Mkuu niambie exactly speed ya hiyo silaha ni ipi?
Acha Urongo Hakuna kitu kama hichoKumbe ndo wanatesti alafu ya urusi inaenda mara 5 mpaka 25 ya
Hapo nilimaanisha speed of sound sio light lakini kuna silaha zipo za lasers ambazo zinasafiri speed of lightAcha Urongo Hakuna kitu kama hicho
Jamaa liongo sana kuzidi kasi ya mwanga.!!!Acha uongo wewe bangi ,hakuna silaha yoyote inazid spid ya mwanga ,hi mi pro.Russia ya manzese bwana ukishabwia madude ndio unatupia comment na smart phone za wizi
Jamaa hajasema marekani Ni taifa la Mungu...hata ivyo by the way kwani marekani imeumbwa Na Nani? Shetani au?Kwamba Mungu kaumba taifa lenye kuuwa watu kwa kutumia atomic bomu, kwamba Mungu kaumba taifa ambalo lina damu za innocent people wengi duniani?? Kwamba Mungu kaumba taifa amablo linatetea ushoga, Mungu gani huyo?? Acheni kutetea upuuzi muda mwengine
Kiongozi umetumia eneo gani la mwili wako kuwaza haya?Hii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
Kinachoweza kufananishwa na speed ya mwanga ni mwanga wenyeweWhen we talk about laser weapons we talk about beam of light Kwa hiyo speed ni hiyohiyo ya mwanga.
Ndio zinaenda kwa speed ya 300,000 Km per sec?Laser weapons Marekani wanayo,wachina wanayo hata Warusi wanayo.
Hawanaga akili hao jamaaAcha uongo wewe bangi ,hakuna silaha yoyote inazid spid ya mwanga ,hi mi pro.Russia ya manzese bwana ukishabwia madude ndio unatupia comment na smart phone za wizi
Hapo nilimaanisha speed of sound sio light lakini kuna silaha zipo za lasers ambazo zinasafiri speed of light.Acha Urongo Hakuna kitu kama hicho
Defence system zinaweza detect ila kuzuia ndo kazi, unapojipanga zuia tayari limefika terminal phaseHili kombora ina speed kuliko sauti yake, ikiwa na maana kabla hata hujasikia ikipita tayar imeshafika
Simply put, Kabla hata haijawa detected na air defence systems inakuwa ishafika kwa target
Hujanisoma vizuri, angalia tena mkuuJamaa hajasema marekani Ni taifa la Mungu...hata ivyo by the way kwani marekani imeumbwa Na Nani? Shetani au?