Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

Acha mihemko... Unatatalika kama mabisi vip?
Kwann mnapoambiwa ukweli mnakua mnaumia sana kiasi cha kutoka povu, kuna kipi cha uongo hapo ?? Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli kitu ambacho lazima tuwambie ukweli
 
Hii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
Kwa akili hii u awezaje kuishi inashangaza sana au unakula nyumbani kwa baba na mama bado
 
Acha uongo wewe bangi ,hakuna silaha yoyote inazid spid ya mwanga ,hi mi pro.Russia ya manzese bwana ukishabwia madude ndio unatupia comment na smart phone za wizi
Jamaa liongo sana kuzidi kasi ya mwanga.!!!
 
Kwamba Mungu kaumba taifa lenye kuuwa watu kwa kutumia atomic bomu, kwamba Mungu kaumba taifa ambalo lina damu za innocent people wengi duniani?? Kwamba Mungu kaumba taifa amablo linatetea ushoga, Mungu gani huyo?? Acheni kutetea upuuzi muda mwengine
Jamaa hajasema marekani Ni taifa la Mungu...hata ivyo by the way kwani marekani imeumbwa Na Nani? Shetani au?
 
Hii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
Kiongozi umetumia eneo gani la mwili wako kuwaza haya?
 
When we talk about laser weapons we talk about beam of light Kwa hiyo speed ni hiyohiyo ya mwanga.
Kinachoweza kufananishwa na speed ya mwanga ni mwanga wenyewe

Ebu fikiria tu umbali wa kilomita laki 3 kwa mwanga inafika sehemj hiyo ndani ya sekunde moja

Sasa kwa mujibu wa chanzo chako ulisema mara 25 ya mwanga ebu fikiria tu mwenyewe hapo how insane is that?
 
Acha uongo wewe bangi ,hakuna silaha yoyote inazid spid ya mwanga ,hi mi pro.Russia ya manzese bwana ukishabwia madude ndio unatupia comment na smart phone za wizi
Hawanaga akili hao jamaa
 
Hili kombora ina speed kuliko sauti yake, ikiwa na maana kabla hata hujasikia ikipita tayar imeshafika

Simply put, Kabla hata haijawa detected na air defence systems inakuwa ishafika kwa target
Defence system zinaweza detect ila kuzuia ndo kazi, unapojipanga zuia tayari limefika terminal phase
 
Back
Top Bottom