Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

Ushoga ndio unaona dhambi tuu,unavyozin na mademu ,huon dhambi,umewatia watoto wa watu mimba wakazitoa huon dhambi,ila ushoga ndio unaona dhambi ,unakoishi kwenyewe mashoga wamejaa,Fanya kampen basi tujue wewe mwanaharakati jasir
Usikute hata yeye mwenyewe huyo ni shog*
 
Ukiona mtu anakomaa na ushoga na udini Dah we kilaza kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Mm sitoacha kuwambia ukweli, msimshirikishe Mungu kwenye vitu vya kipuuzi vinavyofanya upuuzi [emoji16][emoji16], na tatizo lenu ukweli hamuutaki
 
Hii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
Mipango ya Mungu kwa mashoga!!!!
Lazima utakuwa unatania au mungu huyo atakuwa ni Lusifa

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Yaani kwa upuuzi wenu huu mlioletewa na wazungu tuwaachie tu hivihivi alaf mnasema ni taifa lilichaguliwa na Mungu, yaani Mungu achague taifa lenye laana mnazozifanya [emoji23][emoji23][emoji16], Astaghfirullah

Mungu kiokoe hiki kizazi kimeposhwa sana

Ivi mtakwenda kujibu nn mbele ya Muumba kwa kukubali kunajisiana??

Je mnajua kesho qiama kuna hukumu
Utajua mwenyewe na DNA zako.
 
Mipango ya Mungu kwa mashoga!!!!
Lazima utakuwa unatania au mungu huyo atakuwa ni Lusifa

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Hawawezi kukujibu hilo swali[emoji23][emoji1787][emoji1787], eti mipango ya Mungu, ukiwauliza Mungu gani anaeruhusu ushoga na kuuwa watu wanabaki kupanik, hawa jamaa ugoro wanaofundishwa huko unawalevya sana, mm huwaga nawapa maswali na huwa siwafichi wanabaki na makasiriko yao coz hawapendi ukweli

Wanafananiza Mungu na Mambo yao ya kijinga na upuuzi [emoji16], kwakweli hapana
 
Utajua mwenyewe na DNA zako.
Jibu swali [emoji23] hakuna mambo ya DNA hapa, Mungu alilobariki taifa limejaa damu za innocent people na mashoga

Nyinyi jamaa mmeingizwa chaka,

Msishirikishe Mungu muumba mbingu na ardhi na mambo yenu ya laana, mm nitawambia kweli hata kama mkikasirika [emoji1787]
 
Hii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
Soma historia ndugu,ninani aliyekuwa mbabe ka ROMA?
 
Jibu swali [emoji23] hakuna mambo ya DNA hapa, Mungu alilobariki taifa limejaa damu za innocent people na mashoga

Nyinyi jamaa mmeingizwa chaka,

Msishirikishe Mungu muumba mbingu na ardhi na mambo yenu ya laana, mm nitawambia kweli hata kama mkikasirika [emoji1787]
Sitaendelea kuzungumza na wewe hilo jambo lako. Kuna hoja nyingi za kusoma humu. Mada inahusu marekani na hypersoni wewe unataka tujadili Mikundu halafu unamtaja taja MUNGU kama mwavuli wako.
images - 2022-05-03T090516.979.jpeg
 
Ila marekani hawana Sarmatian ballistic missile,bado US Wana safari ndefu
 
Acha uongo wewe bangi ,hakuna silaha yoyote inazid spid ya mwanga ,hi mi pro.Russia ya manzese bwana ukishabwia madude ndio unatupia comment na smart phone za wizi
Dah..🤣🤣🤣
 
Sitaendelea kuzungumza na wewe hilo jambo lako. Kuna hoja nyingi za kusoma humu. Mada inahusu marekani na hypersoni wewe unataka tujadili Mikundu halafu unamtaja taja MUNGU kama mwavuli wako.View attachment 2228805
Mnaangamia kwa kukosa maarifa[emoji23], mnasema Marekani ni taifa gani vile [emoji23][emoji23][emoji16], nyie jamaa sio tu vilaza bali mnatakiwa mtibiwe bongo zenu
 
Hii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
Nyie ndo wakristo ambao ningepewa mamlaka ningewanyonga
 
Mnaangamia kwa kukosa maarifa[emoji23], mnasema Marekani ni taifa gani vile [emoji23][emoji23][emoji16], nyie jamaa sio tu vilaza bali mnatakiwa mtibiwe bongo zenu
Kaa na jambo lako na wale mabwana mnaoelewana. Usinihusishe.
 
Kaa na jambo lako na wale mabwana mnaoelewana. Usinihusishe.
Achana nae akili yake imejaa Ushoga na chuki za kidini we pitia nyuzi zote anazojadili kuhusu vita....inaonesha ni Shoga mwenye itikadi kali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kwamba Mungu kaumba taifa lenye kuuwa watu kwa kutumia atomic bomu, kwamba Mungu kaumba taifa ambalo lina damu za innocent people wengi duniani?? Kwamba Mungu kaumba taifa amablo linatetea ushoga, Mungu gani huyo?? Acheni kutetea upuuzi muda mwengine
Majibu mazuri sana.
Yaani Mungu gani mpumbavu mwenye kuhalalisha ushoga?
Mungu ampe akili mmarekani ya kuleta amani duniani at the same time ampe akili ya kueneza ushoga na usagaji
 
Hii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
Ww ni msabato ndo matango pori yenu mnalishwaa kila siku..ati USA ndo ufalme wa mwisho kwenye biblia..mara ni taifa la kinabii..sasa ww huoni walivyo duni! Putin alikuwa na supersonic bomb long time ago..mana yake yuko na bombs zaid ya hiyo..wao wanatest leo..wakat wenzao wanazitumia kila kukichaaa
 
Achana nae akili yake imejaa Ushoga na chuki za kidini we pitia nyuzi zote anazojadili kuhusu vita....inaonesha ni Shoga mwenye itikadi kali [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti Tahifa lililochaguliwa na Mungu [emoji23][emoji23], wazeee wa upinde kweli mnataka kulipa utukifu taifa ovu, au ndio mahubiri hayo [emoji16]
 
Back
Top Bottom