Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

Ww ni msabato ndo matango pori yenu mnalishwaa kila siku..ati USA ndo ufalme wa mwisho kwenye biblia..mara ni taifa la kinabii..sasa ww huoni walivyo duni! Putin alikuwa na supersonic bomb long time ago..mana yake yuko na bombs zaid ya hiyo..wao wanatest leo..wakat wenzao wanazitumia kila kukichaaa
Hawa jamaa nikiwambia ni vilaza wanakataa na kukasirika[emoji23][emoji23], matango yao pori wapeleke huko
 
Inawezekana wataalam wa siraha wa Newyork & Moscow ni walewale au mkufunzi wao ni mmoja
 
Safi sana .
Sasa wawe tayari! Kupokea majibu pale atakapo amua kuzitumia
 
Hawa jamaa nikiwambia ni vilaza wanakataa na kukasirika[emoji23][emoji23], matango yao pori wapeleke huko
Unajua kupigana vita ya mdomoni sana,bahati mbaya sana Putin anakuangusha katika vita ya ukweli kule Ukraine.[emoji23][emoji23]
 
Unajua kupigana vita ya mdomoni sana,bahati mbaya sana Putin anakuangusha katika vita ya ukweli kule Ukraine.[emoji23][emoji23]
Au sio [emoji23][emoji23], sisi timamu hamtupelekeshi, tunajionea wenzewe , sasa endeleeni kusubiri DW na BBC iwaletee habari za NATO kashinda vita nchini Ukraine
IMG_20220518_094802.jpg
 
Hii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
"Is this the collapse of the Great American Empire" ipo YouTube itafute itakufungua macho, acha kumweka Mungu kwenye mambo ya kidunia
 
Kwamba Mungu kaumba taifa lenye kuuwa watu kwa kutumia atomic bomu, kwamba Mungu kaumba taifa ambalo lina damu za innocent people wengi duniani?? Kwamba Mungu kaumba taifa amablo linatetea ushoga, Mungu gani huyo?? Acheni kutetea upuuzi muda mwengine
Huyo ndi mmarekani wa mchamba wima
 
Kwamba Mungu kaumba taifa lenye kuuwa watu kwa kutumia atomic bomu, kwamba Mungu kaumba taifa ambalo lina damu za innocent people wengi duniani?? Kwamba Mungu kaumba taifa amablo linatetea ushoga, Mungu gani huyo?? Acheni kutetea upuuzi muda mwengine
Wameua wapi?
 
Hii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
mtu akizaa mtoto awe na akili kama zako ni hasara kabisa.
 
Itakumbukwa kwamba Putin alisema hii ni silaha ambayo haipo katika taifa lolote isipokuwa Russia, nadhan sasa yametimia​

Al Jazeera English

The United States Air Force says it has conducted a successful test of a hypersonic weapon, which flew at five times the speed of sound.

The test was conducted on Saturday off the coast of Southern California when a B-52 bomber released an Air-launched Rapid Response Weapon (ARRW), the Air Force said in a statement on Monday.

View attachment 2228487
Yani yeye ndio ana test?!
 
Haijawahi kutokea mmalekani akafanikiwa kuiunda vyema hili bomu, ninauhakika Hilo walilorusha kwa majaribio ni feki!! chuma original kipo Russia kinapumua tu!! ni batani tu ndo imekosa mtu wa kui press ,chombo iamshe Hadi Whitehouse [emoji573]! na siku ikiamsha hiyo chombo hakiyanani Biden ,atakata pumzi hata kabla ya chombo haijatua .
 
Achana nae akili yake imejaa Ushoga na chuki za kidini we pitia nyuzi zote anazojadili kuhusu vita....inaonesha ni Shoga mwenye itikadi kali [emoji23][emoji23][emoji23]
Analazimisha uwe topic badala ya kuuanzishia topic yake.
 
Back
Top Bottom