Marekani wamegundua 2.3 billion tons madini aina ya rare earths

Ngualla mmewauzia wazungu kwa sh. ngapi pesa za kuchambia ?
Kama hutaki kuuza acha kwani wanashida na Madini Yako? Unayo peke yako?

Kila siku Nchi zinatangaza kugundua kuanzia Kenya Hadi Zimbabwe,America Hadi Australia.
 
Sawa Kila mmoja ashinde mechi zake
 
Hawa jamaa janja janja sana, wana miakili kwelikweli si ajabu hata hawana hayo madini.
 
Hii nchi ni tajiri kweri kweri! Imechezewa sana! Utajiri #1 wa nchi duniani ni watu wenye maarifa ya kutosha kupamba na mazingira yao. Rasilimali ni mbwembwe tu.
Utajiri wa nchi ni akili ya wananchi.
 
The mind game
 
Hakuna lolote wanatutisha tu...
 
Vita baridi
 
Hawa watu wanajua propaganda na kutumia mass media kwa faida yao.
Hakuna jambo hapo.
Marekani sio ccm wala Mwigulu Nchemba.
Wao ndio ni ndip na hapana ni hapana.

ccm na Mwigulu wao...ndio ni hapana na hapana ni ndio
 

Sasa asivamie nchi za watu na atoke hizo nchi alizopiga kambi ambako anaiba madini na mafuta
 
Umeniwahi kuiweka hapa,nilikuwa nasubiria wale wanaosemaga Tzn ni Tajiri sana wa Rasilimali niwapige za uso.

Tzn iendelee na nyodo harafu tuone nani atatumia vimadini vyenyewe vya kuokoteza 😁😁
View attachment 2902896


Yeye na washirika wake waondoke Congo , Africa kwa jumla na nchi za Uarabuni na Asia kama hii ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…