Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Death to America
View attachment 2901752
Hivi ni kwanini wanapochoma bendera huwa hawachomi zile U$? Matokeo yake huchoma za kuchongesha?
View: https://youtu.be/yRWmKh13b50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Death to America
View attachment 2901752
Hivi ni kwanini wanapochoma bendera huwa hawachomi zile U$? Matokeo yake huchoma za kuchongesha?
Death to America
View attachment 2901752
Hivi ni kwanini wanapochoma bendera huwa hawachomi zile U$? Matokeo yake huchoma za kuchongesha?
Death to America
View attachment 2901752
Hivi ni kwanini wanapochoma bendera huwa hawachomi zile U$? Matokeo yake huchoma za kuchongesha?
Death to America
View attachment 2901752
Hivi ni kwanini wanapochoma bendera huwa hawachomi zile U$? Matokeo yake huchoma za kuchongesha?
Ee Mungu wape tu hao wanaoelewa thamani ya mali zao, sisi huku kwetu tungewapa waarabu.
Mungu tuhurumie sisi.
Sisi ni walinzi TU wa raslimali zetu na sio wamiliki,wamiliki ni watu weupeTanzania ifadhi yetu ardhini inafika kiasi gani ?
Wanakimbilia kwa sababu ya propaganda za vyombo vyao vya habari . Wako walokimbilia huko na wakarudi , lakini huwasikii kuulizwa kwa nini wakarudi. na wala sehemu hizo huzioni kuonyeshwa na BBC, CNN , Foxnews na wengineoMbona hata hapo ni pazuri sana? Kuna worse places kuliko hapo. Sijui point yako ni ipi hapo. Maana pamoja na hayo yote bado inabaki kuwa nchi watu wanakimbilia kwenda kwa wingi kuliko nchi yoyote ile chini ya jua.
Ni kweli maana vile tumeonyeshwa na Fox news au BBC au CNN Nk.Itakua una utoto mwingi akilini mwako. Living in US hayo yote yanaonyeshwa, kila inapobidi kuonyeshwa, hizo propaganda za eti hayo hawayaonyeshi ni story kwa ajili ya watu wenye akili finyu kama wewe.
Wangekuwa hawataki muyaone si wangepiga ban huko yoitube ulipoyaonea? Huwa hamjistukii tu kwa ufala wenu?
Anayepiga picha na ku share si ndugu zenu wenyewe wanatafuta locations nzuri?
Labda nyie peke yenu ndiyo hamjui kwamba US kuna ambao ni homeless. Ukiishi huku unatakiwa kufanya kazi, period. Ukizembea utakula vyakula vya kuokota na utalala nje na kujifunika ngumi.
Kuna mateja, pia kuna wajamiaji jaramu waliozamia ambao hawana bibali vya kufanya kazi pia hawana ajira, ulitegemea waishi wapi, mahotelini?
Itakua una utoto mwingi akilini mwako. Living in US hayo yote yanaonyeshwa, kila inapobidi kuonyeshwa, hizo propaganda za eti hayo hawayaonyeshi ni story kwa ajili ya watu wenye akili finyu kama wewe.
Wangekuwa hawataki muyaone si wangepiga ban huko yoitube ulipoyaonea? Huwa hamjistukii tu kwa ufala wenu?
Anayepiga picha na ku share si ndugu zenu wenyewe wanatafuta locations nzuri?
Labda nyie peke yenu ndiyo hamjui kwamba US kuna ambao ni homeless. Ukiishi huku unatakiwa kufanya kazi, period. Ukizembea utakula vyakula vya kuokota na utalala nje na kujifunika ngumi.
Kuna mateja, pia kuna wajamiaji jaramu waliozamia ambao hawana bibali vya kufanya kazi pia hawana ajira, ulitegemea waishi wapi, mahotelini?
Mbona hata hapo ni pazuri sana? Kuna worse places kuliko hapo. Sijui point yako ni ipi hapo. Maana pamoja na hayo yote bado inabaki kuwa nchi watu wanakimbilia kwenda kwa wingi kuliko nchi yoyote ile chini ya jua.
Chanzo cha taarifa tafadhaliJimbo LA Wyoming nchini Marekani wamegundua madini ya aina ya rare earths. Haya madini ni ya kimkakati sana katika tasnia ya sayansi na technology.
Ugunduzi wa 2.3 billion tons unaifanya Marekani kuwa na reserve kubwa sana ya aina hii ya madini. Rare earth ni madini yanayotumika kwenye utengenezaji wa vifaa vya technology kama hybrid cars, computer, simu, space craft, ndege nk. Awali China ndiyo alikuwa mzalishaji mkubwa sana wa rare earth.
Mwaka Jana China alipiga marufuku uuzaji nje wa madini ya rare earth. Rare earth ni madini yenye element 17.
Baada ya huu ugunduzi, china amebaki mdomo wazi. Wingi wa haya madini ndani ya Marekani utachochea maendeleo makubwa sana ya technology.
Tatizo utoto au kutokuwa na ufahamu ndiyo kunakokusumbua. Mbona taarifa za maendeleo huko Afrika zipo nyingi tu.Ni kweli maana vile tumeonyeshwa na Fox news au BBC au CNN Nk.
Ukija kwa nchi za Afrika huonyeshwi maendeleo ya Afrika au nchi za Asia , utaonyeshwa zile sehemu chafu tu
Huko Youtube wametuonyesha nani CNN ?? au Fox News ??
Ukionyeshwa maendeleo Afrika utaonyeshwa zile sehemu ambazo wao wanatoa msaada au wazungu wenzao , huwezi kuonyeshwa sehemu mrusi amefanya jambo katika Afrika zaidi ya askari wa kukodiwa kule west Africa na kwengineko , misaaada wanayotoa nchi za kiarabu ndio kabisa huonyeshwiMdi
Tatizo utoto au kutokuwa na ufahamu ndiyo kunakokusumbua. Mbona taarifa za maendeleo huko Afrika zipo nyingi tu.
Anayepeleka taarifa mbovu kuhusu Afrika huko Ulaya ni waafrika wenyewe ili wapate funds.
Sasa unakiri kuwa huwa wansonyesha kuwa Afrika ina maendeleo tofauti na madai yako ya awali.Ukionyeshwa maendeleo Afrika utaonyeshwa zile sehemu ambazo wao wanatoa msaada au wazungu wenzao , huwezi kuonyeshwa sehemu mrusi amefanya jambo katika Afrika zaidi ya askari wa kukodiwa kule west Africa na kwengineko , misaaada wanayotoa nchi za kiarabu ndio kabisa huonyeshwi
Maendeleo gani wameyaleta Afrika zaidi ya kupandikiza vibaraka vyao na kunyonyaSasa unakiri kuwa huwa wansonyesha kuwa Afrika ina maendeleo tofauti na madai yako ya awali.
Kwa hiyo Warusi na Wachina wakionyesha maendeleo ya Afrika, wenyewe huonyesha yaliyofanywa na wazungu?
Una maanisha wazungu hawaitambui reli ya TAZARA? Wala miradi yoyote ile nje ya waliyoifanya wao? Hivi unajua kwamba seeikali zao zinawajibika kwa wananchi wao hivyo hukusanya taarifa za nchi yofauti na ku share kwa wananchi wao ili wazitumia kujipanga kabla ya kwenda huko? Au ninyi zile soga mnazopigiana ndiyo unadhani ndiyo dunia ilivyo?
Ungejifunza kujishughulisha japo kidogo tu, utaishia kuyachukia makundi yote yanayorutubisha ubongo wako, maana ndiyo yanaua uwezo wako halisi wa kufanya reasoning.
Ukionyeshwa maendeleo Afrika utaonyeshwa zile sehemu ambazo wao wanatoa msaada au wazungu wenzao , huwezi kuonyeshwa sehemu mrusi amefanya jambo katika Afrika zaidi ya askari wa kukodiwa kule west Africa na kwengineko , misaaada wanayotoa nchi za kiarabu ndio kabisa huonyeshwi