Marekani wamegundua 2.3 billion tons madini aina ya rare earths

Ee Mungu wape tu hao wanaoelewa thamani ya mali zao, sisi huku kwetu tungewapa waarabu.

Mungu tuhurumie sisi.
 
Itakua una utoto mwingi akilini mwako. Living in US hayo yote yanaonyeshwa, kila inapobidi kuonyeshwa, hizo propaganda za eti hayo hawayaonyeshi ni story kwa ajili ya watu wenye akili finyu kama wewe.
Wangekuwa hawataki muyaone si wangepiga ban huko yoitube ulipoyaonea? Huwa hamjistukii tu kwa ufala wenu?
Anayepiga picha na ku share si ndugu zenu wenyewe wanatafuta locations nzuri?

Labda nyie peke yenu ndiyo hamjui kwamba US kuna ambao ni homeless. Ukiishi huku unatakiwa kufanya kazi, period. Ukizembea utakula vyakula vya kuokota na utalala nje na kujifunika ngumi.
Kuna mateja, pia kuna wajamiaji jaramu waliozamia ambao hawana bibali vya kufanya kazi pia hawana ajira, ulitegemea waishi wapi, mahotelini?
 
Mbona hata hapo ni pazuri sana? Kuna worse places kuliko hapo. Sijui point yako ni ipi hapo. Maana pamoja na hayo yote bado inabaki kuwa nchi watu wanakimbilia kwenda kwa wingi kuliko nchi yoyote ile chini ya jua.
Wanakimbilia kwa sababu ya propaganda za vyombo vyao vya habari . Wako walokimbilia huko na wakarudi , lakini huwasikii kuulizwa kwa nini wakarudi. na wala sehemu hizo huzioni kuonyeshwa na BBC, CNN , Foxnews na wengineo
 
Ni kweli maana vile tumeonyeshwa na Fox news au BBC au CNN Nk.

Ukija kwa nchi za Afrika huonyeshwi maendeleo ya Afrika au nchi za Asia , utaonyeshwa zile sehemu chafu tu

Huko Youtube wametuonyesha nani CNN ?? au Fox News ??
 
Wanaofanya kazi wengine wako homeless waone mwenyewe

Ni Aljazeera hiyo siyo CNN au Fox News , na kwa taarifa yako hizo sehemu ulizosema ni mbaya zaidi , ukizitia youtube , huwa wanazitoa , na tiktok ndio hawataki kuisikia wanaipiga vita

View: https://www.youtube.com/watch?v=jjE5mBXDKIU
 
Mbona hata hapo ni pazuri sana? Kuna worse places kuliko hapo. Sijui point yako ni ipi hapo. Maana pamoja na hayo yote bado inabaki kuwa nchi watu wanakimbilia kwenda kwa wingi kuliko nchi yoyote ile chini ya jua.

worst places ukizitia you tube wanazitoa au hujui kuna control humo Youtube
 
Chanzo cha taarifa tafadhali
 
Mdi
Ni kweli maana vile tumeonyeshwa na Fox news au BBC au CNN Nk.

Ukija kwa nchi za Afrika huonyeshwi maendeleo ya Afrika au nchi za Asia , utaonyeshwa zile sehemu chafu tu

Huko Youtube wametuonyesha nani CNN ?? au Fox News ??
Tatizo utoto au kutokuwa na ufahamu ndiyo kunakokusumbua. Mbona taarifa za maendeleo huko Afrika zipo nyingi tu.
Anayepeleka taarifa mbovu kuhusu Afrika huko Ulaya ni waafrika wenyewe ili wapate funds.
 
Ukionyeshwa maendeleo Afrika utaonyeshwa zile sehemu ambazo wao wanatoa msaada au wazungu wenzao , huwezi kuonyeshwa sehemu mrusi amefanya jambo katika Afrika zaidi ya askari wa kukodiwa kule west Africa na kwengineko , misaaada wanayotoa nchi za kiarabu ndio kabisa huonyeshwi
 
Sasa unakiri kuwa huwa wansonyesha kuwa Afrika ina maendeleo tofauti na madai yako ya awali.
Kwa hiyo Warusi na Wachina wakionyesha maendeleo ya Afrika, wenyewe huonyesha yaliyofanywa na wazungu?
Una maanisha wazungu hawaitambui reli ya TAZARA? Wala miradi yoyote ile nje ya waliyoifanya wao? Hivi unajua kwamba seeikali zao zinawajibika kwa wananchi wao hivyo hukusanya taarifa za nchi yofauti na ku share kwa wananchi wao ili wazitumia kujipanga kabla ya kwenda huko? Au ninyi zile soga mnazopigiana ndiyo unadhani ndiyo dunia ilivyo?
Ungejifunza kujishughulisha japo kidogo tu, utaishia kuyachukia makundi yote yanayorutubisha ubongo wako, maana ndiyo yanaua uwezo wako halisi wa kufanya reasoning.
 
Maendeleo gani wameyaleta Afrika zaidi ya kupandikiza vibaraka vyao na kunyonya

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…