Marekani wametusaidia Bil 2.6 baada ya Serikali yetu kuilipa kampuni ya Kimarekani ya lobbying Bil 8. Hii ni sawa?

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
38,298
Reaction score
72,863
..kichwa cha habari kinahusika.

..hivi ni akili kweli kulipa bil 8 kwa ajili ya vimisaada vya bil 2.6?

..au huu ni ulaji na upigaji wa watu fulani?

..halafu tunalalamika kwamba kuna Watanzania wanalipwa kuchoma nchi yao.

..badala ya kulipa bilioni 8 huko nje kwanini serikali isipande dau na kuwalipa hao waliohongwa kuchoma nchi?

..Mimi naona kwa kufanya hivyo tungeokoa miundombinu isichomwe, na Polisi wasilazimike kufanya mauaji.
 
Hilo ni tatizo la kuwa na serikali inayoamini zaidi foreign influence kuliko domestic consensus .
 
Ndio changamoto nchi kuwapatia wachamba umbea. Hii sio sw.
Kazi ni kipimo cha utu
 
..kichwa cha habari kinahusika.

..hivi ni akili kweli kulipa bil 8 kwa ajili ya vimisaada vya bil 2.6?

..au huu ni ulaji na upigaji wa watu fulani?

..halafu tunalalamika kwamba kuna Watanzania wanalipwa kuchoma nchi yao.

..badala ya kulipa bilioni 8 huko nje kwanini serikali isipande dau na kuwalipa hao waliohongwa kuchoma nchi?

..Mimi naona kwa kufanya hivyo tungeokoa miundombinu isichomwe, na Polisi wasilazimike kufanya mauaji.
This is what GT is all about
 
Hizo figure ni Dola ama hela za madafu? Hazimake sense.
 
Back
Top Bottom