This is what GT is all about..kichwa cha habari kinahusika.
..hivi ni akili kweli kulipa bil 8 kwa ajili ya vimisaada vya bil 2.6?
..au huu ni ulaji na upigaji wa watu fulani?
..halafu tunalalamika kwamba kuna Watanzania wanalipwa kuchoma nchi yao.
..badala ya kulipa bilioni 8 huko nje kwanini serikali isipande dau na kuwalipa hao waliohongwa kuchoma nchi?
..Mimi naona kwa kufanya hivyo tungeokoa miundombinu isichomwe, na Polisi wasilazimike kufanya mauaji.
Hizo figure ni Dola ama hela za madafu? Hazimake sense...kichwa cha habari kinahusika.
..hivi ni akili kweli kulipa bil 8 kwa ajili ya vimisaada vya bil 2.6?
..au huu ni ulaji na upigaji wa watu fulani?
..halafu tunalalamika kwamba kuna Watanzania wanalipwa kuchoma nchi yao.
..badala ya kulipa bilioni 8 huko nje kwanini serikali isipande dau na kuwalipa hao waliohongwa kuchoma nchi?
..Mimi naona kwa kufanya hivyo tungeokoa miundombinu isichomwe, na Polisi wasilazimike kufanya mauaji.
Hizo figure ni Dola ama hela za madafu? Hazimake sense.
Kwamba Marekani wasaidie Tu Bilioni 2.6? Kwa ninavyofahamu grant iliosainiwa juzi ni 1B+ USD sio madafu, ukiconvert kwenye madafu ni Trilioni zaidi ya 4...Madafu.