Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Ila marekani, nyoko sana..
Daah 🙌
Daah 🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena sii wa kitoto ila ule wa kibeberu kabisaa,na hii imeeeendaa🤪Au mpaaaka waseeeeme🤸🤸🤸Wanaukumbi.
Serikali ya Marekani wameweka kwenye ukurasa wao wa Ikulu ya taifa hilo, misaada ya kibinadamu ambayo wanaipeleka nchini Palestina kwenye ukanda wa Gaza.
Hivi mnawaelewa kweli hawa jamaa? Yaani wapeleke silaha nchini Israeli kwa ajili ya kuwaua watu wa Palestina watoto, wanawake, kushambulia shule mahospitali kisha leo hii wapeleke misaada ya kibinadamu?
Huu ndo unafiki ambao kama hauna akili za kuchanganua mambo huwezi kuelewa namna dunia inavyokwenda.
Lakini hawa jamaa, mwisho wao umekaribia kwa maana kila aina ya propaganda ambayo wanaifanya kwa sasa, dunia iko macho muda wote.
========================
More shipments of Usaid food have arrived in Egypt before heading to Gaza.
Access to humanitarian aid is critical, and our Administration welcomes yesterday’s deal that'll allow for additional humanitarian aid to alleviate the suffering of innocent Palestinian families in Gaza.
Mnafiki ni mjinga kama wewe dogo. Unajifanya Muislam huku ukiuza unga kwenye makontena na kuua watu mpaka mze wako wewe akauza nchi wakati hauna maslahi yoyote kwenye nchi yetu. Wangekuua tu huko China, mpuuzi mkubwa sana wewe.Wanaukumbi.