Marekani washauri raia wake kuwa makini Tanzania

Status
Not open for further replies.

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Raia wa Marekani walioko Tanzania waonywa kuhusu vita dhidi ya ushoga vilivyopangwa kuanzishwa, washauriwa kuwa makini kila waendako na kuhakikisha wametoa picha zao kwenye mitandao ya kijamii au chochote kitaashiria mienendo ya kishoga.
Pia wameagizwa endapo yeyote atakamatwa, ubalozi wa Marekani ufahamishwe mara moja.
-----------------------------------------------------------------

The United States has warned its citizens in Tanzania to be cautious after commercial capital Dar es Salaam announced a crackdown on homosexuality, which is a criminal offence in the East African country.

In an alert on its website late on Saturday, the U.S. Embassy in Tanzania advised Americans to review their social media profiles and internet footprints.

“Remove or protect images and language that may run afoul of Tanzanian laws regarding homosexual practices and explicit sexual activity,” it said.

The alert said any U.S. citizen who was detained or arrested should ensure the Tanzanian authorities informed the embassy.
Dar es Salaam’s administrative chief Paul Makonda said on Wednesday that a special committee would seek to identify and punish homosexuals, prostitutes and online fraudsters in the city from this week.

U.S. warns its citizens in Tanzania ahead of anti-gay crackdown | Agricultural Commodities | Reuters
 
Are you serious???!!!
 
Naona tabia za Mombasa mnataka kuzileta Tanzania

Hamjaletewa leo, imekuwepo tangu, mnalazimishwa mdumishe hii tamaduni ambayo mlishaletewa kitambo, japo kwa sasa imekithiri hadi mkaanza kufyatuka bila mpango. Hawa ndio mnategemea misaada yao, pia mnategemea hela za mabwabwa kwenye utalii, sasa kupayukapayuka sijui kulikua kwa sababu ipi, mlifaa muendelee kukausha maana hamna jinsi, ukiwa maskini fahamu wewe bado ni mtumwa na utafumuliwa mari.nda hadi ukome.

Nilicheka sana mlivyon'gaka baada ya kuguswa, leo hii viongozi wenu wamepoteana hakuna anayesema kimoja na mwenzie.....wazungu wapumbavu sana yaani hawana huruma.
 
Tena waishie huko huko na Vitabia vyakishenzi
 
Sisi hatubabaishwi tunapotaka kusimamia maadili yetu ya kitanzanania, miaka 30 jela kwa yeyote atakaekamatwa anafanya biashara za Mombasa ipo pale pale.
 
Hamubabaishwi, ila mnatikiswa, mnayumbishwa, mnatupwatupwa....yaani mzungu amewakamata penyewe, haikuchukua hata siku moja kabla hamjakunja mkia....hehehe
 
Marekani imepata pakuanzia...

Wanatutafuta sana watuweke kwenye kumi na nane zao...

Cc: mahondaw
 
Ata sisi nchi jirani tunauga mkono haka kaoperation hapo dar! Mashost na mashoga woteee wakanyee ndoo kule lockup![emoji90] [emoji191]

Ata na kule jeshi la polisi kaoperation kafike mazee, boda boda wanazulumika kitaa jamaniii![emoji16]
IMG_20181105_134645_142.jpg
IMG-20150808-WA0000.jpg
 
tanzania duh! hawa hivi karibun wataanza kuwarusha mashoga kutoka kwa majengo marefu kama kule middle east...watu wanaowachinja albino bila huruma kama wanyama si watu wazuri...ila ushoga tabia mbaya sana...mwakamate mwafunge au mwafukuze tu...msiwatendee unyama mliowatendea albino jameni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom