Marekani washauri raia wake kuwa makini Tanzania

Marekani washauri raia wake kuwa makini Tanzania

Status
Not open for further replies.
tanzania duh! hawa hivi karibun wataanza kuwarusha mashoga kutoka kwa majengo marefu kama kule middle east...watu wanaowachinja albino bila huruma kama wanyama si watu wazuri...ila ushoga tabia mbaya sana...mwakamate mwafunge au mwafukuze tu...msiwatendee unyama mliowatendea albino jameni
These people are so predictable. Unaweza shtukia wanawarusha bahari Hindi.
 
Kwa hisani ya watu wa marekani... Ushoga hautakaa uishe
Kabisaa wala hujakosea mkuu maana unafadhiliwa na nchi tajiri zinazojiweza kiuchumi tutakataa mwisho wa ck ili tuendelee kuwa tunapata misaada yao lazima tuingie tu choo cha kike
 
Picha Linaendelea....

IMG_20181105_174039_365.JPG
 
Kukazia mkuu c unajua watu wanaogopa na wanatilia sana maanani akiongea mkulu??
Any way kikubwa yeye naye kuunga hoja hadharan to
Hapa itakua kina mkapa na JK wamemshauri akae kimya
Vinginevyo angeshafukuza watu wizara ya mambo ya nje
 
Tangazo la Januari unaleta sasa hivi ili iweje? Ni dhahiri kuwa na wewe ni choko.
 
Hili tamko ni jepesi kwa kulisikia ila lina maana kubwa sana kwa wachunguzi wa mambo.. kuna tamko jingine ni lazima litafata ambalo si rafiki kwetu. kujamiina jinsia moja hatutaki na sio utamaduni wetu iwe wasagaji au mashoga. hivyo waheshimu utamaduni wetu na wasituwekee vikwazo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom