Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
These people are so predictable. Unaweza shtukia wanawarusha bahari Hindi.tanzania duh! hawa hivi karibun wataanza kuwarusha mashoga kutoka kwa majengo marefu kama kule middle east...watu wanaowachinja albino bila huruma kama wanyama si watu wazuri...ila ushoga tabia mbaya sana...mwakamate mwafunge au mwafukuze tu...msiwatendee unyama mliowatendea albino jameni
😀😀😀tayari tanzania inakaribia kuwa dictatorship pole pole...there is no freedom anymore in this LDC countryThese people are so predictable. Unaweza shtukia wanawarusha bahari Hindi.
Kabisaa wala hujakosea mkuu maana unafadhiliwa na nchi tajiri zinazojiweza kiuchumi tutakataa mwisho wa ck ili tuendelee kuwa tunapata misaada yao lazima tuingie tu choo cha kikeKwa hisani ya watu wa marekani... Ushoga hautakaa uishe
Ulikuwa lockup na ukatolewa sasa hivi? Mada imeshawekwa na kujadiliwa kumeisha. Umekurupuka.
Acha kulowaUlikuwa lockup na ukatolewa sasa hivi? Mada imeshawekwa na kujadiliwa kumeisha. Umekurupuka.
Hua hazungumzii mambo ya mwanae coz huwa tayari yana baraka zake zoteNamsubiri maneno ya baba jeska
Kukazia mkuu c unajua watu wanaogopa na wanatilia sana maanani akiongea mkulu??Hua hazungumzii mambo ya mwanae coz huwa tayari yana baraka zake zote
Hapa itakua kina mkapa na JK wamemshauri akae kimyaKukazia mkuu c unajua watu wanaogopa na wanatilia sana maanani akiongea mkulu??
Any way kikubwa yeye naye kuunga hoja hadharan to
Baba jeska ashauriwi mkuu!!!! Akiamua ameamua!!!!Hapa itakua kina mkapa na JK wamemshauri akae kimya
Vinginevyo angeshafukuza watu wizara ya mambo ya nje
Ngoja tusubiri mambo yakiwa makubwa atatia nenoBaba jeska ashauriwi mkuu!!!! Akiamua ameamua!!!!