Marekani: Washauri waoga wanampotosha Rais Putin

Weka na bei ya mafuta MArekani, Uingereza, Ufaransa halafu pia na weka bei ya gas Ujeruman, Spain nk; Muweka vikwazo anamuoneaje huruma aliyemuwekea vikwazo? Mbona mambo mengine hayahitaji akili kubwa kuyaelewa? Waliwahi kumuwekea vikwazo vya kiuchumi Iraq, Iran, North Korea nk, lini uliwahi kusikia wakiwaonea huruma raia wa hizo nchi?
Hee, unahitaji ufafanuzi mkuu kwa hasira, tunasema kwamba hayo mafuta na gesi tayari mbadala upo lakini kwa sababu kukatisha muda mfupi toka russia kunahitajika muda kidogo huo mbadala uweze kubalance situation lakini lazima ufahamu vikwazo vya Iran na Iraq ni tofauti san hivi alivyowekewa russia, Urusi vikwazo alivyowekewa ni babkubwa sana haijawai tokea ni suala la muda tu urusi litakuw taifa maskini sana duniani lakini sasaiv tayari fole za kununua kilo ya sukari imeanza ya russia
 
Sasa kama ni kwa muda mfupi, kwanini huo huo muda mfupi usiufikirie kwa Russia as well. Bro, Urusi ni Wazungu kama Marekani, Uingereza, sio weusi kama sisi, na wenyewe wana akili; Urusi na USA wamekua wakiwindana miaka na miaka so tusidhanie kwamba haya yaliowekwa na mataifa ya magharibi hawakuyajua, walijua and sio jambo la ghafla but magharibi sidhani kama wao walijipanga kwamba kuna siku jamaa atawaambia HATAKI dola, Euro wala paund, anataka wanunue kwa pesa yake, hi kwao ni surprize
 
Sasa kama ni kwa muda mfupi, kwanini huo huo muda mfupi usiufikirie kwa Russia as well. Bro, Urusi ni Wazungu kama MArekani, Uingereza, sio weusi kama sisi, na wenyewe wana akili; Urusi na USA wamekua wakiwendana miaka na miaka so tusidhanie kwamba haya yaliowekwa na mataifa ya magharibi hawakuyajua, walijua and sio jambo la ghafla but magharibi sidhani kama wao walijipanga kwamba kuna siku jamaa atawaambia HATAKI dola, Euro wala paund, anataka wanunue kwa pesa yake, hi kwao ni surprize
Hii russia kutaka walipe kwa ruble ni mtego wake kukwepa vikwazo lakini hakufanikiwa, tayari amekubali walipe kwa euro, walioeka vikwazo ni magharibi likely wao walijua kwanza impact yake na kujua mbadala, lakini kwa russia itamuia vigumu sana kutoka kwenye hili kwa sababu yeye ana bidhaa muhimu lakini hilo soko liko wapi? 47% gesi akiuza ulaya leo ana 0%., lakini upande 2 tuone ni nani mwenzake russia? labda tuseme India, China labda Iran ivi kwa akili ya kawaida kweli nchi hizo 3 wataziba pengo shortage ya mauzo ya gesi ulaya?? Russia ni vile anacheza kwenye coridoo tu mule mule ndani ni suala la muda tu
 
Hebu weka hiyo link ya taarifa ya Russia kubadiri msimamo wao wa namna ya kufanya malipo. Sijaisoma hiyo mkuu
 
amebaki na nuclear tu ground ameshindwa vibaya, na US wanamtazama kwa macho 4 akipiga nuclear itakuwa ndio mwisho wa taifa liitwalo russia ulimwenguni
siku ambayo kiduku alirusha rocket yake angani ndiyo siku USA alipunguza speed na kurejea nyuma na siku wanajeshi wa russia alipo onekana akilatizi maeneo ya karibu na japan ndio siku ambayo marekani ilitofautiana na matamshi ya rais wa taifa hilo......
 
Hii russia kutaka walipe kwa ruble ni mtego wake kukwepa vikwazo lakini hakufanikiwa, tayari amekubali walipe kwa euro, walioeka vikwazo ni magharibi likely wao walijua kwanza impact yake na kujua mbadala, lakini kwa russia itamuia vigumu sana kutoka kwenye hili kwa sababu yeye ana bidhaa muhimu lakini hilo soko liko wapi? 47% gesi akiuza ulaya leo ana 0%., lakini upande 2 tuone ni nani mwenzake russia? labda tuseme India, China labda Iran ivi kwa akili ya kawaida kweli nchi hizo 3 wataziba pengo shortage ya mauzo ya gesi ulaya?? Russia ni vile anacheza kwenye coridoo tu mule mule ndani ni suala la muda tu
angalia na mataifa yaliyo weka vikwazo jinsi wanavyo itaka gas kuimarisha uchumi wa mataifa yao...

ujerumani ni mmnunuzi mkubwa wa bidhaa za russia na ana watu zaidi ya 80M...

akikosa gas, uchumi una angamia wana enda ktk mgao ambao utaathiri pakubwa kuliko janga la uviko...
 
Weka na bei ya mafuta MArekani, Uingereza, Ufaransa halafu pia na weka bei ya gas Ujeruman, Spain nk; Muweka vikwazo anamuoneaje huruma aliyemuwekea vikwazo? Mbona mambo mengine hayahitaji akili kubwa kuyaelewa? Waliwahi kumuwekea vikwazo vya kiuchumi Iraq, Iran, North Korea nk, lini uliwahi kusikia wakiwaonea huruma raia wa hizo nchi?

Wapambe wa nato wamevimbiwa matango pori ya bbc cnn sky newz
 
Hii russia kutaka walipe kwa ruble ni mtego wake kukwepa vikwazo lakini hakufanikiwa, tayari amekubali walipe kwa euro, walioeka vikwazo ni magharibi likely wao walijua kwanza impact yake na kujua mbadala, lakini kwa russia itamuia vigumu sana kutoka kwenye hili kwa sababu yeye ana bidhaa muhimu lakini hilo soko liko wapi? 47% gesi akiuza ulaya leo ana 0%., lakini upande 2 tuone ni nani mwenzake russia? labda tuseme India, China labda Iran ivi kwa akili ya kawaida kweli nchi hizo 3 wataziba pengo shortage ya mauzo ya gesi ulaya?? Russia ni vile anacheza kwenye coridoo tu mule mule ndani ni suala la muda tu

Sio mtego wa kukwepa vikwazo gesi ni ya mrusi na anahaki ya kuiuza kwa pesa yake,
 
Sasa kama ni kwa muda mfupi, kwanini huo huo muda mfupi usiufikirie kwa Russia as well. Bro, Urusi ni Wazungu kama Marekani, Uingereza, sio weusi kama sisi, na wenyewe wana akili; Urusi na USA wamekua wakiwindana miaka na miaka so tusidhanie kwamba haya yaliowekwa na mataifa ya magharibi hawakuyajua, walijua and sio jambo la ghafla but magharibi sidhani kama wao walijipanga kwamba kuna siku jamaa atawaambia HATAKI dola, Euro wala paund, anataka wanunue kwa pesa yake, hi kwao ni surprize
Bado unaongea as if Russia wako kwenye favourable position, kwa akili ya kawaida unapaswa kujua Russia pia anawategemea mabeberu wa west kama sehemu au soko la kuuza gesi yake. Mabeberu yako smart sana kwani mfumo wao wa maisha ni competitive in nature, wanaishi Maisha ya ushindani kwenye technology, business na mambo yote yanayohusisha maslahi. Ukiwa chukia mabeberu kwa hisia unapasua moyo wako bure hawa jamaa ni survivors ngoja tuone muda ni mwalimu mzuri
 
Wapambe wa nato wamevimbiwa matango pori ya bbc cnn sky newz
Shule za kata zimeharibu sana vichwa maana wengi mna generalize sana kwamba kila taarifa inayochapishwa na Western press ni propaganda bila kufanya analysis. Tatizo ketu kubwa Africa ni inferiority complex kitu ambacho kimetufanye tushindwe kujiamini hata kwa mawazo yetu. Vijana wengi wanachuki za mabeberu kwa hisia bila facts wala source za maana ila wenzetu wako above sisi kwa kila kitu, ndio maana kuna shule tunatumia mitaala yao kuwapa elimu watoto wetu, mabeberu wanachukia umaskini kwa vitendo ndio maana vita yao dhidi ya ukabwela ni kali sana. Muda ni elimu ngoja uone kwenye hii vita ya uchumi nani ata survive
 
angalia na mataifa yaliyo weka vikwazo jinsi wanavyo itaka gas kuimarisha uchumi wa mataifa yao...

ujerumani ni mmnunuzi mkubwa wa bidhaa za russia na ana watu zaidi ya 80M...

akikosa gas, uchumi una angamia wana enda ktk mgao ambao utaathiri pakubwa kuliko janga la uviko...
Usicheze na mjerumani hawa jamaa wana strong personalities, hawa jamaa wanajiona wako bora zaidi ya wazungu wote hata uchumi wake ni mkubwa kuliko beberu yoyote ulaya, anategemea sana gasi ya russia ila usitegemee kama Russia atakata supply jamaa washindwe kusurvive
 
Shule za kata zimeharibu sana vichwa maana wengi mna generalize sana kwamba kila taarifa inayochapishwa na Western press ni propaganda bila kufanya analysis. Tatizo ketu kubwa Africa ni inferiority complex kitu ambacho kimetufanye tushindwe kujiamini hata kwa mawazo yetu. Vijana wengi wanachuki za mabeberu kwa hisia bila facts wala source za maana ila wenzetu wako above sisi kwa kila kitu, ndio maana kuna shule tunatumia mitaala yao kuwapa elimu watoto wetu, mabeberu wanachukia umaskini kwa vitendo ndio maana vita yao dhidi ya ukabwela ni kali sana. Muda ni elimu ngoja uone kwenye hii vita ya uchumi nani ata survive

mpka sasa haujajua nani mshindi wa hii vita [emoji15] mkuu unateseka kutokea wapi? ni nani kakwambia anachuki na mabeberu,
 
Vita huwa inabeba malengo ambayo vikundi vinarishwa kiapo ili kuyatimiza kupitia uhodari wao ndani ya uwanja wa medani. Historically, russia hajaanza leo kuwaadhibu ndugu zao ukraine kwani stalin aliwafanya mbaya sana kuwanyanganya mashamba wake dead kama million 5. Alichofanikiwa ukraine ni kulinda heshima na uhuru wa nchi yake, na urusi kwa mujibu wake mission imekamilika kuyatambua na kuyalinda majimbo yaliyojitenga. Ukraine ameshinda media war ni hii ni kipimo tosha cha nguvu ya mebeberu kuweza kumanipulate media house kubwa ulimwenguni, nafanya prediction Russia hawezi kuface economic war na mabeberu coz haya majamaa kwa hujuma yanaogopesha, Niko tayari kokoselewa
 
Bado unaongea as if Russia wako kwenye favourable position, kwa akili ya kawaida unapaswa kujua Russia pia anawategemea mabeberu wa west kama sehemu au soko la kuuza gesi yake. Mabeberu yako smart sana kwani mfumo wao wa maisha ni competitive in nature, wanaishi Maisha ya ushindani kwenye technology, business na mambo yote yanayohusisha maslahi. Ukiwa chukia mabeberu kwa hisia unapasua moyo wako bure hawa jamaa ni survivors ngoja tuone muda ni mwalimu mzuri
Umeijua Russia juzi mkuu, au niseme hujui historia ya vita baridi wewe; hao mabeberu na Russia hawajaanza leo hiyo vita yao, leo zinarushwa risasi lakini wamekua kwenye vita vya muda wa zaidi ya miaka 80, in fact kabla ya vita ya pili ya dunia na baada ya vita ya pili ya dunia wamekua kwenye vita vya maneno, kimya kimya na hata ku sponsor vita kwenye nchi zingine so ugomvi wa hawa jamaa sio wa leo au jana. Miaka hiyo mataifa rafiki wa Urusi hawakua strong kiuchumi kama ilivyo sasa; kuonesha magharibi wametetereka kidogo, hebu linganisha thamani ya dola mwezi ulio pita na sasa. USA na hao mabeberu wamekua wanawawekea vikwazo vya kiuchumi nchi nyingine halafu wao mambo yanakua sawa, waliweza kwenda hata kwenye vita na kupigana na wengine na still kwao mambo yalikua sawa, sasa hivi bei ya mafuta na petrol kwao pia imepanda cause hawakujiandaa kama walivyo wahi mpiga Iraq mara kadhaa, Iran na Iraq waliwahi ku sponsor vita ya miaka 8 mfululizo na still kwao mambo yalikua sawa tu, not this time.
 
Shule za kata zimeharibu sana vichwa maana wengi mna generalize sana kwamba kila taarifa inayochapishwa na Western press ni propaganda bila kufanya analysis. Tatizo ketu kubwa Africa ni inferiority complex kitu ambacho kimetufanye tushindwe kujiamini hata kwa mawazo yetu. Vijana wengi wanachuki za mabeberu kwa hisia bila facts wala source za maana ila wenzetu wako above sisi kwa kila kitu, ndio maana kuna shule tunatumia mitaala yao kuwapa elimu watoto wetu, mabeberu wanachukia umaskini kwa vitendo ndio maana vita yao dhidi ya ukabwela ni kali sana. Muda ni elimu ngoja uone kwenye hii vita ya uchumi nani ata survive
Wamefungia RT nk ili kutulisha ugoro tumewastukia
VIVA PUT IN
 
Marekani na Uingereza zimesema kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapotoshwa na washauri wake ambao wanahofu ya kumwambia ukweli jinsi ambavyo uvamizi wake kwa Ukraine ulivyo na madhara makubwa.

Uingereza imesema kuwa vikosi vya Urusi vilivyopo Ukraine vinazidi kupata tabu, na wanaamini Rais Putin hajaambiwa madhara makubwa ya kuwekewa vikwazo

Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Kate Bedingfield amesema vita hiyo itaifanya Urusi iwe dhaifu kwa muda mrefu na kutengwa kwa muda mrefu.

Source: BBC
View attachment 2170185

================================

The US and UK say Putin is being misinformed by his advisers

Russian President Vladimir Putin is being misled by advisers who are too scared to tell him how badly the war in Ukraine is going, the White House says.

Meanwhile British intelligence says Russian troops in Ukraine are demoralised, short of equipment and refusing to carry out orders.

Mr Putin is also not being told about the full impact of sanctions on the Russian economy, the White House said.

The Kremlin has not yet commented on the assessments.

White House spokesperson Kate Bedingfield said the US had information that Mr Putin "felt misled by the Russian military" and this had resulted in "persistent tension between Putin and his military leadership".

"Putin's war has been a strategic blunder that has left Russia weaker over the long term and increasingly isolated on the world stage," she said.

Pentagon spokesman John Kirby called the assessments "discomforting" because an uninformed Putin could result in a "less than faithful" effort at ending the conflict through peace negotiations.

"The other thing is, you don't know how a leader like that is going to react to getting bad news," he said.

Ukrainian forces have begun attempts to retake some areas from Russia, which on Tuesday said it would scale back operations around Kyiv and the northern city of Chernihiv.

Jeremy Fleming, the head of the UK's cyber-intelligence agency GCHQ, said the move added to indications Russia had "massively misjudged the situation" and had been forced to "significantly rethink".

"We've seen Russian soldiers - short of weapons and morale - refusing to carry out orders, sabotaging their own equipment and even accidentally shooting down their own aircraft," Mr Fleming said in a speech to the Australian National University in Canberra.

"And even though Putin's advisers are afraid to tell him the truth, what's going on and the extent of these misjudgements must be crystal clear to the regime."

On the ground, US and Ukrainian officials say Russia is continuing to reposition forces away from Kyiv, probably as part of its effort to refocus on eastern regions.
Kwamba Putin na ukachero wake wote hajui kinachoendelea Ukraine!!?
hizi propaganda zingine muwe mnapeleka kwa mabektatu direct
 
Back
Top Bottom