Williamking
Member
- May 11, 2013
- 80
- 94
Asante aiseedah hongereni
Nakuaminia queen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
team winning for fking life[emoji41]
Kaliona baada ya WCB kushindaEmbu usijichetue akili
Kwani wakati unampigia KIBAMIA hukuliona ilo??!
Hata mm nmeshangaaa sana aiseeee at AfricaDJ dommy kweli tuzo ni za upendeleo siku izi huo ubora wake ni upi tena Africa? Cheated again lol
Wabongo ss n hatari unarukwa futi buku iv iv unaonaKaliona baada ya WCB kushinda
usitusumbue unataka tukuhakikishie,haya ni kweli wewe hujui mziki CCM weeJamani labda mi sijui mziki asa hawa wanaimba nini
Ukwel anaujua ila basi tu ubishi usiokuwa na.kichwa walaiguumkuu Nyerere 11 anaona sijui tunamsingizia huyo binti laiti kama angeijua historia ya huyo anayemtetea angetengua kauli yake haraka
Hongera zao vijana,Harmonize Kaanza juz tu kaibuka na tuzo kubwa wakina barnaba,benpol kwenye game kitambo lakini hata kuzinusa tu bado Bora tu wakaombe usajili Wasafi Kama mwenzao mavoko!
-nyerere-
Sasa kwani ukishinda tuzo ndo maana yake ndo unajua kuimba? Kushinda tuzo ni ishu ya kupigiwa kura na kupigiwa kura ni ishu ya kampeni (yaani unafanyaje kampeni ili kujihakikishia ushindi) team WCB wana crew kubwa sana au mtandao mkubwa sana wa watu kuwapigia kura, nitoe mfano tuchukulie hivyo hivyo harmonize alivyo halaf angekua ameingia kwenye tuzo hizo pasi na kua chini ya label ya WCB what do you think could happen? Harmonize sio msanii mkali kihiivyo bytheway huwezi ukamweka kapu moja na akina barnaba, benpol(kwa utamu wa vocal) to mention a few lakini record label yake pekee inambeba au ina mmbusti kuweza kua known na kupigiwa kura that's it!!Ndio huyohuyo mkuu
Mbona unatokwa povu mkuu.... Kama hujafurahia mafanikio yao weka waziSasa kwani ukishinda tuzo ndo maana yake ndo unajua kuimba? Kushinda tuzo ni ishu ya kupigiwa kura na kupigiwa kura ni ishu ya kampeni (yaani unafanyaje kampeni ili kujihakikishia ushindi) team WCB wana crew kubwa sana au mtandao mkubwa sana wa watu kuwapigia kura, nitoe mfano tuchukulie hivyo hivyo harmonize alivyo halaf angekua ameingia kwenye tuzo hizo pasi na kua chini ya label ya WCB what do you think could happen? Harmonize sio msanii mkali kihiivyo bytheway huwezi ukamweka kapu moja na akina barnaba, benpol(kwa utamu wa vocal) to mention a few lakini record label yake pekee inambeba au ina mmbusti kuweza kua known na kupigiwa kura that's it!!
...wanaimba nyimbo.Una swali jingine mr team kiba?Jamani labda mi sijui mziki asa hawa wanaimba nini