MAREKANI: Watanzania Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

Sasa kwani ukishinda tuzo ndo maana yake ndo unajua kuimba? Kushinda tuzo ni ishu ya kupigiwa kura na kupigiwa kura ni ishu ya kampeni (yaani unafanyaje kampeni ili kujihakikishia ushindi) team WCB wana crew kubwa sana au mtandao mkubwa sana wa watu kuwapigia kura, nitoe mfano tuchukulie hivyo hivyo harmonize alivyo halaf angekua ameingia kwenye tuzo hizo pasi na kua chini ya label ya WCB what do you think could happen? Harmonize sio msanii mkali kihiivyo bytheway huwezi ukamweka kapu moja na akina barnaba, benpol(kwa utamu wa vocal) to mention a few lakini record label yake pekee inambeba au ina mmbusti kuweza kua known na kupigiwa kura that's it!!
ila umesahau kumpa hongera!
 
afrimma tuzo za mpopo diamond anaweza kununua anavyotaka
Zamani ilikuwa hata kununua pia hatuwezi, lkn sasa hivi kama tunaweza kununua na kufanya figisu figisu mpaka tunapata tuzo basi tumepiga hatua na tunastahili pongezi. Kwa wasanii wengine kama King Kiba, Ben Poh na wengineo jitahidini mfanye figisu kwa wingi tuzo zije home.Hata kwenye soka kama inawezekana poa tu mbona waarabu wanafanya!
 
Sasa kwani ukishinda tuzo ndo maana yake ndo unajua kuimba? Kushinda tuzo ni ishu ya kupigiwa kura na kupigiwa kura ni ishu ya kampeni (yaani unafanyaje kampeni ili kujihakikishia ushindi) team WCB wana crew kubwa sana au mtandao mkubwa sana wa watu kuwapigia kura, nitoe mfano tuchukulie hivyo hivyo harmonize alivyo halaf angekua ameingia kwenye tuzo hizo pasi na kua chini ya label ya WCB what do you think could happen? Harmonize sio msanii mkali kihiivyo bytheway huwezi ukamweka kapu moja na akina barnaba, benpol(kwa utamu wa vocal) to mention a few lakini record label yake pekee inambeba au ina mmbusti kuweza kua known na kupigiwa kura that's it!!
Kwaiyo iyo lebel ili emerge frm nowhere???
Embu jiongezee ww wabongo tunapenda vzur WCB wanapenda kutoa vzur dats y crew kubwa yaja kwao.....
Basi nao wapige kampen kwan shingap??
 
DJ dommy kweli tuzo ni za upendeleo siku izi huo ubora wake ni upi tena Africa? Cheated again lol

wakati wewe uko busy ku-hate, wenzako wanazidi ku-shine na kupiga hela ndefu.. kaa hapohapo uisome namba
 
Kwaiyo iyo lebel ili emerge frm nowhere???
Embu jiongezee ww wabongo tunapenda vzur WCB wanapenda kutoa vzur dats y crew kubwa yaja kwao.....
Basi nao wapige kampen kwan shingap??
Sasa ndo umeandika nini? What's your point bytheway?

Jipangee..
 
King kiba atapiga hat trick tuzo za Kilimanjaro [emoji23][emoji23][emoji23]..... Alaf chibu ataenda mswaki
 
Sasa kwani ukishinda tuzo ndo maana yake ndo unajua kuimba? Kushinda tuzo ni ishu ya kupigiwa kura na kupigiwa kura ni ishu ya kampeni (yaani unafanyaje kampeni ili kujihakikishia ushindi) team WCB wana crew kubwa sana au mtandao mkubwa sana wa watu kuwapigia kura, nitoe mfano tuchukulie hivyo hivyo harmonize alivyo halaf angekua ameingia kwenye tuzo hizo pasi na kua chini ya label ya WCB what do you think could happen? Harmonize sio msanii mkali kihiivyo bytheway huwezi ukamweka kapu moja na akina barnaba, benpol(kwa utamu wa vocal) to mention a few lakini record label yake pekee inambeba au ina mmbusti kuweza kua known na kupigiwa kura that's it!!
Umeniandikia biblia nilikujibu nilijua humfahamu kumbe unamfahamu fika aiseee hasira zako za kipenzi chako kushindwa kupata tuzo usinimalizie tafadhali mkuu
 
Mtoto wa simba ni simba kana nyimbo kama 3 tu da hongera xana
 
Sasa kwani ukishinda tuzo ndo maana yake ndo unajua kuimba? Kushinda tuzo ni ishu ya kupigiwa kura na kupigiwa kura ni ishu ya kampeni (yaani unafanyaje kampeni ili kujihakikishia ushindi) team WCB wana crew kubwa sana au mtandao mkubwa sana wa watu kuwapigia kura, nitoe mfano tuchukulie hivyo hivyo harmonize alivyo halaf angekua ameingia kwenye tuzo hizo pasi na kua chini ya label ya WCB what do you think could happen? Harmonize sio msanii mkali kihiivyo bytheway huwezi ukamweka kapu moja na akina barnaba, benpol(kwa utamu wa vocal) to mention a few lakini record label yake pekee inambeba au ina mmbusti kuweza kua known na kupigiwa kura that's it!!

Uliyoandika ndilo tatizo kubwa linawakumba watanzania kama wewe.

Sasa hao akina sijui ben nami na nani, kwani kuna aliyewafunga mikino au midomo nao wasijioaishe na kufika kimataifa? Au kuwazuia kujaribu njia?

Umejaa hasira mnataja nani sijui nani, at the end of the day kila mwimbaji na maisha na kazi yake.

Hongera sana kwa walioshinda, mkaze buti mtutangazie nchi yetu.
 
Mwanzo mzuri sana kwa Harmonize katika tunzo za kimataifa.hongera sana team nzima ya WCB
 
Back
Top Bottom