MAREKANI: Watanzania Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

ila umesahau kumpa hongera!
 
afrimma tuzo za mpopo diamond anaweza kununua anavyotaka
Zamani ilikuwa hata kununua pia hatuwezi, lkn sasa hivi kama tunaweza kununua na kufanya figisu figisu mpaka tunapata tuzo basi tumepiga hatua na tunastahili pongezi. Kwa wasanii wengine kama King Kiba, Ben Poh na wengineo jitahidini mfanye figisu kwa wingi tuzo zije home.Hata kwenye soka kama inawezekana poa tu mbona waarabu wanafanya!
 
Kwaiyo iyo lebel ili emerge frm nowhere???
Embu jiongezee ww wabongo tunapenda vzur WCB wanapenda kutoa vzur dats y crew kubwa yaja kwao.....
Basi nao wapige kampen kwan shingap??
 
DJ dommy kweli tuzo ni za upendeleo siku izi huo ubora wake ni upi tena Africa? Cheated again lol

wakati wewe uko busy ku-hate, wenzako wanazidi ku-shine na kupiga hela ndefu.. kaa hapohapo uisome namba
 
Kwaiyo iyo lebel ili emerge frm nowhere???
Embu jiongezee ww wabongo tunapenda vzur WCB wanapenda kutoa vzur dats y crew kubwa yaja kwao.....
Basi nao wapige kampen kwan shingap??
Sasa ndo umeandika nini? What's your point bytheway?

Jipangee..
 
King kiba atapiga hat trick tuzo za Kilimanjaro [emoji23][emoji23][emoji23]..... Alaf chibu ataenda mswaki
 
Umeniandikia biblia nilikujibu nilijua humfahamu kumbe unamfahamu fika aiseee hasira zako za kipenzi chako kushindwa kupata tuzo usinimalizie tafadhali mkuu
 
Mtoto wa simba ni simba kana nyimbo kama 3 tu da hongera xana
 

Uliyoandika ndilo tatizo kubwa linawakumba watanzania kama wewe.

Sasa hao akina sijui ben nami na nani, kwani kuna aliyewafunga mikino au midomo nao wasijioaishe na kufika kimataifa? Au kuwazuia kujaribu njia?

Umejaa hasira mnataja nani sijui nani, at the end of the day kila mwimbaji na maisha na kazi yake.

Hongera sana kwa walioshinda, mkaze buti mtutangazie nchi yetu.
 
Mwanzo mzuri sana kwa Harmonize katika tunzo za kimataifa.hongera sana team nzima ya WCB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…