PostGE2025 Marekani: Watanzania waandamana kwenye ubalozi wa Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Watanzania na wanajumuiya wa Afrika Mashariki wamekuwa na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Tanzania na wameweza kupeleka ujumbe kwa dunia kuwa SAMIA ni rais haramu na tunahitaji ndugu zetu waliotekwa warudishwe na waliouwawa miili yao irudishwe.

DUNIA imeona na watanzania tumeona jinsi ndugu zetu walivyo upande wetu.

 
NCHI IKIVURUGIKA IKAWA KAMA CONGO HAO WAHUNI HAWATAPATA HUO MUDA WA KUFANYA UHUNI KWENYE BALOZI
 
NCHI IKIVURUGIKA IKAWA KAMA CONGO HAO WAHUNI HAWATAPATA HUO MUDA WA KUFANYA UHUNI KWENYE BAROZI


Hivi wewe Sappire kumbe ni mwendawazimu kiasi hiki! Ungekuwa na akili japo kidogo ungeelekeza maonyo yako kwa hawa watawala wauaji wanaoiharibu Tanzania.
 
Hapa ndipo tulipofika kama nchi....

Boss wa Zimbabwe ana mipasho kwenye uhalisia 🥲🥲🥲
 
NCHI IKIVURUGIKA IKAWA KAMA CONGO HAO WAHUNI HAWATAPATA HUO MUDA WA KUFANYA UHUNI KWENYE BALOZI

..genge la Mama Abduli linaloteka, kutesa, na kuuwa wasio na hatia, ndilo litakalosababisha nchi ivurugike na kuwa kama Congo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…