Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,558 Reaction score 7,935 Dec 8, 2025 Thread starter #21 Marekani: Watanzania walioandamana wamesema Tanzania kwa sasa sio sehemu salama. Hii ni kutokana na mwendelezo wa mauwaji na utekaji na ukamataji wa watu hovyo huku serikali haramu ikihusishwa na vitendo hivyo.
Marekani: Watanzania walioandamana wamesema Tanzania kwa sasa sio sehemu salama. Hii ni kutokana na mwendelezo wa mauwaji na utekaji na ukamataji wa watu hovyo huku serikali haramu ikihusishwa na vitendo hivyo.