Marekani yaagiza Raia wake kuondoka nchini Urusi haraka

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Onyo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje, Antony J. Blinken, muda mfupi baada ya #Russia kumshikilia Mwandishi wa Habari wa #WallStreetJournal ambaye ni raia wa Marekani akidaiwa kuwa ni Jasusi

Serikali ya #Marekani imesema inamesiliana na WSJ kuhusu sakata hilo na tayari imeanza kutafuta njia za kuufikia Ubalozi wa Urusi kwaajili ya kutoa usaidizi wowote unaofaa

Blinken amelaani kitendo hicho cha Kremlin kwa maelezo kuwa kinatumika kuwatisha, kuwakandamiza na kuwaadhibu wanahabari na kuminya sauti za mashirika ya kiraia.

===============

US State Department Secretary Antony Blinken on Thursday requested the Americans living in Russia to leave the country "immediately", after the reporter was arrested in Moscow.

Taking to Twitter, Mr Blinken said, "We are deeply concerned over Russia's announcement it has detained a U.S. citizen journalist. The @StateDept's highest priority is the safety and security of U.S. citizens abroad. If you are a U.S. citizen living or travelling in Russia - please leave immediately."

These remarks came after an American reporter for Wall Street Journal (WSJ) Evan Gershkovich was arrested in Russia on espionage charges, according to Al-Jazeera.

In a statement, Mr Blinken said, "We are deeply concerned over Russia's widely-reported detention of a U.S. citizen journalist. We are in contact with the Wall Street Journal on this situation. Whenever a U.S. citizen is detained abroad, we immediately seek consular access, and seek to provide all appropriate support."

"In the strongest possible terms, we condemn the Kremlin's continued attempts to intimidate, repress, and punish journalists and civil society voices," the statement added.

Meanwhile, White House Press Secretary Karine Jean-Pierre also expressed concern over the arrest of Evan Gershkovich in Russia. She also stated that last night, White House and State Department Officials spoke with Gershkovich's employer, the Wall Street Journal.

"The Administration has also been in contact with his family. Furthermore, the State Department has been in direct touch with the Russian government on this matter, including actively working to secure consular access to Gershkovich," the press secretary said in a tweet.

"The targeting of American citizens by the Russian government is unacceptable. We condemn the detention of Gershkovich in the strongest terms. We also condemn the Russian government's continued targeting and repression of journalists and freedom of the press," she added.

She also stated that the US government should heed the warning to not travel to Russia.

US citizens residing or travelling in Russia should depart immediately, as the State Department continues to advise, Ms Pierre tweeted.

WSJ in a statement said, "The Wall Street Journal is deeply concerned for the safety of Gershkovich."

1680203078693.png
 
Kakamatwa jasusi mmoja halafu wa Amerika wote wanao ishi Urusi waondoke mara moja - kuna nini hapo, kuna kitu si bure nafikiri jamaa kakamatwa red handed na sensitive military issues labda na kundi lake lote la majasusi anao shirikiana nao kwenye ujasisi huu wamekuwa busted, sasa aibu hii ndio inaifanya Merikani kijidai inawashauri raia wake waondoke Urusi haraka sana hizo ni mbinu za kupoteza lengo ili Urusi ionekane inawaonea waandishi wa habari wa Limerokano kumbe ni ulaghai mtupu.

USA wamekamatwa with their pants down sasa ndio maana wanataka ku-build up horror stories kuhusu waandishi wa habari wanavyo nyanyaswa huko Russia, lakini la Amerika kuwafukuza waandishi wa habari kutoka Urusi kufungia vyombo vyao vya habari: Sputnik,Russia Today, Tass na Pravda wakati huu wa vita ya Ukraine wao wanao ni sawa tu, wanataka Dunia isikie habari kutoka western media na sio Urusi wala Uchina - hawataki ukweli ujulikane wanajitia kuheshimu haki za binadamu kwenye makaratasi tu na sio katika utekelezaji.

Swali la msingi la kujiuliza hapa, hivi: huyo mwandishi wa habari alikwenda kifanya nini kwenye a very sensetive Russian Military Industrial complex zinazo deal na top secret military hard ware notably sophisticated missiles and military flying machines - sina shaka watu wa usalama wa Urusi walikuwa wamekwisha mshitukia siku nyingi tu wakawa wanafatilia nyenendo za jasusi huyo - baada ya kitiwa mbaroni kaulizwa wewe huku poroni in a middle of no where ulikuja kifanya/kitafuta nini - kakosa jibu.
 
Umenena, Marekani wajanja sana! Haingii akilini muandishi wa habari wa marekani uwepo eneo ktk uwanja wa vita ety uko kazini

😂😂😂😂
Tena alikuwa anawachunguza wale jamaa wa Wagner Group ambao ndio wanaoteka maeneo ya Ukraine kila uchao. Muda huu wako Bakhumut wameteka Kiwanda cha Chuma cha AZOM.
 
Kakamatwa jasusi mmoja halafu wa Amerika wote wanao ishi Urusi waondoke mara moja - kuna nini hapo, kuna kitu si bure nafikiri jamaa kakamatwa red handed na sensitive military issues labda na kundi lake lote la majasusi anao shirikiana nao kwenye ujasisi huu wamekuwa busted, sasa aibu hii ndio inaifanya Merikani kijidai inawashauri raia wake waondoke Urusi haraka sana hizo ni mbinu za kupoteza lengo ili Urusi ionekane inawaonea waandishi wa habari wa Limerokano kumbe ni ulaghai mtupu.

USA wamekamatwa with their pants down sasa ndio maana wanataka ku-build up horror stories kuhusu waandishi wa habari wanavyo nyanyaswa huko Russia, lakini la Amerika kuwafukuza waandishi wa habari kutoka Urusi kufungia vyombo vyao vya habari: Sputnik,Russia Today, Tass na Pravda wakati huu wa vita ya Ukraine wao wanao ni sawa tu, wanataka Dunia isikie habari kutoka western media na sio Urusi wala Uchina - hawataki ukweli ujulikane wanajitia kuheshimu haki za binadamu kwenye makaratasi tu na sio katika utekelezaji.

Swali la msingi la kujiuliza hapa, hivi: huyo mwandishi wa habari alikwenda kifanya nini kwenye a very sensetive Russian Military Industrial complex zinazo deal na top secret military hard ware notably sophisticated missiles and military flying machines - sina shaka watu wa usalama wa Urusi walikuwa wamekwisha mshitukia siku nyingi tu wakawa wanafatilia nyenendo za jasusi huyo - baada ya kitiwa mbaroni kaulizwa wewe huku poroni in a middle of no where ulikuja kifanya/kitafuta nini - kakosa jibu.
FSB wamesema amekamatwa "red handed" kwenye maeneo ilipo kambi ya Wagner Group.
 
Duh uko kitengo gani hapo Wagner PMC braza?
 
Back
Top Bottom