Fascinating
Senior Member
- May 14, 2025
- 146
- 351
Marekani imekaa kando na kuahirisha mkataba mkubwa wa ufadhili wa afya uliokusudiwa kwa Zambia, wenye thamani ya dola bilioni 1.5 karibia Trilioni 3.7 za Kitanzania.
Marekani imeahirisha kutoa ufadhili huo kwa kile inachodai uwepo wa ufadhili huo utatokana na uelekeo wa mazungumzo yanaoendelea kuhusu ushirikiano wa uchimbaji madini na mambo mengine ya kibiashara baina ya nchi hizo mbili.
Moja ya mchangiaji hapa kijiwe Nongwa alichagiza kuwa;
Mazungumzo yanaendelea kwa sasa, na uamuzi wa mwisho kuhusu mkataba huo na utakaopelekea kutolewa kwa dola bilioni 1.5 bado haujaeleweka wazi.
Suala la kujadili hapa, ni juu ya nini kimefichwa kwenye hii misaada na ufadhili ambao nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania ni wanufaika?
Marekani imeamuwa kuwa muazi sana juu ya sera zake za ushirikiano bila ya kuogopa kama itaonekana inafanya unyonyaji au la.
Katika mkutano wake na rais wa Tanzania tarehe 8 Disemba 2025, Kaimu balozi wa marekani bwana Andrew Lentz aliweka wazi kuwa
Binafsi naona huu ni muelekeo sahihi kabisa, inapswa kuwa hivi ili kuziamsha nchi nyingi za Kiafrika ambazo zinategemea kwenye kuomba omba huku sehemu kubwa ya bajeti zao ikienda kwenye kulipana posho, mishahara na si maendeleo.

- Mkataba huo, ambao ulikuwa unalenga kuimarisha mifumo ya afya ya Zambia, ulipangwa kusainiwa mwezi Desemba 2025.
- Kuainiwa kwa mkataba huo sasa kumewekwa kando, kwani Marekani imeamua kusema waziwazi kuwa vigezo vya ufadhili huo ni mpaka wafikie makubaliano yenye mafanikio katika mazungumzo ya uchimbaji madini na biashara.
Moja ya mchangiaji hapa kijiwe Nongwa alichagiza kuwa;
“Sielewi ni kwa nini tunaendelea kuichukulia mikataba hii kama msaada au ufadhili. Kwa sasa, dunia imefunguka sana kiasi cha kutoelewa hizi dhana. Kama ushirikiano huu unahusu madini, mnyororo wa usambazaji ama mipango ya kimkati inayolenga ushirikiano wa muda mrefu, basi tuiite kama makubaliano ya biashara na si vinginevyo”
Mazungumzo yanaendelea kwa sasa, na uamuzi wa mwisho kuhusu mkataba huo na utakaopelekea kutolewa kwa dola bilioni 1.5 bado haujaeleweka wazi.
Suala la kujadili hapa, ni juu ya nini kimefichwa kwenye hii misaada na ufadhili ambao nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania ni wanufaika?
Marekani imeamuwa kuwa muazi sana juu ya sera zake za ushirikiano bila ya kuogopa kama itaonekana inafanya unyonyaji au la.
Katika mkutano wake na rais wa Tanzania tarehe 8 Disemba 2025, Kaimu balozi wa marekani bwana Andrew Lentz aliweka wazi kuwa
Hii inaoneshwa wazi kuwa Marekani sasa imeamuwa kunyooka kwenye masharti na sio yale makubariano yanayoingiwa kwenye giza, kisha baadaye kwenye mwanga yanaonekana kama misaada."Marekani imejikita katika ushirikiano usiogemea kwenye utegemezi wa misaada bali ustawi wa pamoja,"