Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Waafrika tupo vizuri kwenye kusagiana kunguniHamjamboni nyote?
Nimeambatanisha kielelezo
He Kagame amechokwa na wakubwa?!
View attachment 2299957View attachment 2299958View attachment 2299959
Aliye kuwa ana type iyo barua cjui alikuwa hajui nn maana ya justify Kwa word naona miandishi IPO huku na kule..
Mkuu huyu Paul Lusesabagina ndo yule waliyemuigiza kwenye movie ya Hotel Rwanda?Paul Lusesabagina, amesha hukumiwa watulie .kama ambavyo hawakuweza kumlinda hadi akaingia mikononi mwa vyombo vya Sheria vya PK, watulie amalize kifungo.
Kwani hajaoa au? Kwa hiyo Janet ni Dadake!! Uhuni gani unao zungumzia ebu tufafanulie.Kagame ni muhuni.
Nilishangazwa na akili za ajabu za Lusesabagina, we mtu unambiwa umekodoshiwa ndege ya kwenda Afrika ya kati,sehemu yenyewe ni Dubai kuliko jaa majasusi wa Rwanda Lusesabagina kaingia kichwa kichwa kwenye mtego bila ya kujishtukia - kajitumbukiza mwenyewe kwenye mtego wa PK,hivi sasa anategemea umaarufu wake wa movie ya Hotel Rwanda kutamsaidia,sioni kitu kingine kilicho kuwa kinampa ujasiri wa kupimana misuli na a seasoned freedom fighter kama Kagame - sioni kusema kweli, amuombe msamaa Kagame yaishe.Paul Lusesabagina, amesha hukumiwa watulie .kama ambavyo hawakuweza kumlinda hadi akaingia mikononi mwa vyombo vya Sheria vya PK, watulie amalize kifungo.