Marekani yaanza kumshughulikia Kagame kwa tuhuma nzito

Marekani yaanza kumshughulikia Kagame kwa tuhuma nzito

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Hamjamboni nyote?

Nimeambatanisha kielelezo

He Kagame amechokwa na wakubwa?!

FB_IMG_16584956383116368.jpg
FB_IMG_16584956426502096.jpg
FB_IMG_16584956458793143.jpg
 
Aliye kuwa ana type iyo barua cjui alikuwa hajui nn maana ya justify Kwa word naona miandishi IPO huku na kule..
 
Shida ya hawa jamaa wakishakutumia lazima wakutupe......japo sidhani kama wakati wa jamaa ndo umewadia
 
Paul Lusesabagina, amesha hukumiwa watulie .kama ambavyo hawakuweza kumlinda hadi akaingia mikononi mwa vyombo vya Sheria vya PK, watulie amalize kifungo.
 
Paul Lusesabagina, amesha hukumiwa watulie .kama ambavyo hawakuweza kumlinda hadi akaingia mikononi mwa vyombo vya Sheria vya PK, watulie amalize kifungo.
Mkuu huyu Paul Lusesabagina ndo yule waliyemuigiza kwenye movie ya Hotel Rwanda?
 
😄😄 walioanza kumfuatilia majuzi majuzi PK na shida zake na Wamarekani ndio wanao ona mwisho wake umefika 😄😄
 
Paul Lusesabagina, amesha hukumiwa watulie .kama ambavyo hawakuweza kumlinda hadi akaingia mikononi mwa vyombo vya Sheria vya PK, watulie amalize kifungo.
Nilishangazwa na akili za ajabu za Lusesabagina, we mtu unambiwa umekodoshiwa ndege ya kwenda Afrika ya kati,sehemu yenyewe ni Dubai kuliko jaa majasusi wa Rwanda Lusesabagina kaingia kichwa kichwa kwenye mtego bila ya kujishtukia - kajitumbukiza mwenyewe kwenye mtego wa PK,hivi sasa anategemea umaarufu wake wa movie ya Hotel Rwanda kutamsaidia,sioni kitu kingine kilicho kuwa kinampa ujasiri wa kupimana misuli na a seasoned freedom fighter kama Kagame - sioni kusema kweli, amuombe msamaa Kagame yaishe.
 
Ufike wakati Africa iachwe ijiendeshe yenyewe kwa jinsi inavyoona inafaa. Wao huko wanaua wangapi? Wanateka wangapi? No one asks them[emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom