Marekani yafeli tena kwenye kutest kombora la Hypersonic

Bado siamini kama ni kweli..... mi nadhani America kuna mambo mengi wanaficha..
Kwa haya maji ya shingo na anataka auze silaha hawez kuficha jambo lolote kwa kujidhalilisha kama hivi, lengo lake sio vita bali lengo lake ni influence na pesa za mauzo ya silaha kuijenga economicaly...kwa uwalakin uliouonyesha umeogopa haiwezekan US akapoteza kias hiki...basi ujue na policies za US ziko based na hofu uliyoipata kuwa haiwezeken wao wakawa empty kias hichi
 
Hawana...kwasababu hayupo tayari kuwapoteza ushawishi kwa kudanganya hasa kipindi hiki kigumu cha anguko la uchumi wake
 
Acha ujinga braza, acha akili za ovyo duniani kote ilisoma hizo taarifa sio hapa bongo tu, endeleeni kuadaiwa na wajanja USA wako pale walipo na wataendelea kuwa juu duniani coz wanawaelewa washindani wao vyema sana
Urusi asingeonyesha fujo anazozionyesha kama kweli US ana hzo hypasonic..china asingemdindia, iran asingemdindia wala north korea..
 
Acha ushabiki maandazi we kiazi
 
Watu wanaogopa weka habari nzima.
Wanataka wshtukize wapumbavu wenzao
 
Kuna watu wanashindwa kuelewa maana ya neno jaribio/majaribio. Na aliyesema jaribio limekwama (bila kufafanua) ni marekani mwenyewe.
 
Pro NATO huwa mna mihemko sana, lichanya kutaabika matapishi yako, marekani hajawai na wala hana hypersonic missilès sasa wewe kajamba nani unaonaje ukatuwekea sources zako. No research no right to speak!.or else kalale bado asubui matongo tongo yanakusumbia
 
Una upeo mdogo sana.
Samahani lkn.
 
Kwani wangesema majaribio imefanikiwa kuna tume ingeingilia kwenda kufanya uthibitisho? Dunia kuna mambo sana, sasa Rusia kama anatumia hypersonic na bado hajamaliza vita basi hizo silaha siyo hatari kama inavyopambwa hapa jukwaani.
 
Kwani wangesema majaribio imefanikiwa kuna tume ingeingilia kwenda kufanya uthibitisho? Dunia kuna mambo sana, sasa Rusia kama anatumia hypersonic na bado hajamaliza vita basi hizo silaha siyo hatari kama inavyopambwa hapa jukwaani.
Anazo chache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…