Marekani yafuta ahadi yake ya kutoa Dola milioni 10 atakayesaidia kukamatwa Ahmed al- Sharaa kiongozi mpya wa Syria

Hivi siku hizi hatuwezi kuwa na mjadala bila maneno machafu ndugu zangu wana jf?
Huu ukweli tusipo usema utaendelea milele ni lazima tuuseme kuna akili kubwa sana na faida kubwa sana ...hivi amjiulizi kwa nini Jpm alipingwa na mabeberu wakati ni mkristo mwenzao hadi wakasemezana kuwa wanatamani tanzania iongozwe na waislamu siku zote ...Nyerere aliua hadi makaburu ya africa kusini na ni wakristo ...ila rais akiwa muislamu tu wamasai wanauliwa kisa muarabu hapate sehemu ya kufanyia ufuksa wake ...thamani ya mtanzania mbantu inskuwa duni sana rais akiwa muisiharamu
 
Siku zote tunawaambia Us ndiye bana lao, hata Putin ni suala la muda tu
 
Kifupi amekubali kuwa kibaraka.

Kuwauza wenzake kimyakimya

na anakuwa jiwe la kukanyagwa wakati mabeberu wanafanya operations zao.
Hata wale akina Assad, Nasrallah, Haniyeh na Sinwar nao usisahau kwamba walikuwa ni vibaraka vilevile kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…