johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Elezea kwa kirefu bas mzee tukueleweacha ujinga wewe vifaa ni kwa ajili ya kuenda kulinda amani kwenye nchi zenye amani tete. ccm yamedakia mada tu kwa kuwa vimepita bandari ya dar.
Jombaaa katika salamu za pongezi wamegusia pia na tume huru ya uchaguzi uliskia au lugha gonganaSerikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.
Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi ya Kunduchi na mgeni rasmi alikuwa waziri wa ulinzi mh Mwinyi.
Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na Mkuu wa majeshi General Mabeho na Naibu balozi wa Marekani nchini.
Source ITV habari
Mbona balozi aliongea kwa kiswahili bwashee!!Jombaaa katika salamu za pongezi wamegusia pia na tume huru ya uchaguzi uliskia au lugha gongana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwiga Kikosi cha kulinda amani magari yao ni meupe na yana nembo ya UN.acha ujinga wewe vifaa ni kwa ajili ya kuenda kulinda amani kwenye nchi zenye amani tete. ccm yamedakia mada tu kwa kuwa vimepita bandari ya dar.
Anaweweseka tu huyo
Ulinzi wa mipaka ya nchi!Nani wa kuuliwa na hivyo vifaa?
Umepata zero mkuu... Soma swali uelewe usijibu kwa paparaUlinzi wa mipaka ya nchi!
Hakuna vifaa vya kuulia bwashee!Umepata zero mkuu... Soma swali uelewe usijibu kwa papara
Huwezi kuwaona hapa!Hii habari imekaa vibaya sana kwa wana ufipa aka makamanda uchwara.
Leo wamekuwa WAMAREKANI kesho WATAKUWA MABEBERU.Huwezi kuwaona hapa!
Kwan unazan unajua kiswahili vizuri mtwasiMbona balozi aliongea kwa kiswahili bwashee!!