Marekani yaipongeza serikali ya Rais Magufuli, yatoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi kwa JWTZ

Hahahahahahaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! Hatari sana,hii dunia hii Elimu kitu muhimu sana.
 
Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.

Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.

Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi ya Kunduchi na mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ulinzi Mh Mwinyi.

Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na Mkuu wa majeshi General Mabeho na Naibu balozi wa Marekani nchini.

Source: ITV Habari
hawana haja ya makonda,bashite na mke mmoja tu, mambo mengine yataenda sawa sana akitoka
 
Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.

Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.

Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi ya Kunduchi na mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ulinzi Mh Mwinyi.

Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na Mkuu wa majeshi General Mabeho na Naibu balozi wa Marekani nchini.

Source: ITV Habari
Aisee, hongereni CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.

Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.

Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi ya Kunduchi na mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ulinzi Mh Mwinyi.

Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na Mkuu wa majeshi General Mabeho na Naibu balozi wa Marekani nchini.

Source: ITV Habari
Tuishukuru pia kwa kumpiga ban mwnaa mfalme
 
Back
Top Bottom