Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawana haja ya makonda,bashite na mke mmoja tu, mambo mengine yataenda sawa sana akitokaSerikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.
Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi ya Kunduchi na mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ulinzi Mh Mwinyi.
Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na Mkuu wa majeshi General Mabeho na Naibu balozi wa Marekani nchini.
Source: ITV Habari
Nakataa donor kantree haiwezi kusaidiwa kizembe zembe tumMbwiga Kikosi cha kulinda amani magari yao ni meupe na yana nembo ya UN.
Msaada wa leo ni wa JWTZ.
Hatatokea labda kwa nchi za Africa magharibi wasikojitambuaUchaguzi ujao ukichezewa msishangae jeshi likiwageuka.
Mbona balozi aliongea kwa kiswahili bwashee!!
Kwakifupi hujaelewa kwa kirefu utaelewaje?
Unazan = Unadhani
Kumbe Bado tunapokea misaada?Mbwiga Kikosi cha kulinda amani magari yao ni meupe na yana nembo ya UN.
Msaada wa leo ni wa JWTZ.
Aisee, hongereni CCMSerikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.
Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi ya Kunduchi na mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ulinzi Mh Mwinyi.
Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na Mkuu wa majeshi General Mabeho na Naibu balozi wa Marekani nchini.
Source: ITV Habari
Tuishukuru pia kwa kumpiga ban mwnaa mfalmeSerikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.
Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi ya Kunduchi na mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ulinzi Mh Mwinyi.
Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na Mkuu wa majeshi General Mabeho na Naibu balozi wa Marekani nchini.
Source: ITV Habari
Hilo lina impact gani kwa taifa!Tuishukuru pia kwa kumpiga ban mwnaa mfalme
Utaelewa tu. Slow learner lazima kwenda nao taratibuHilo lina impact gani kwa taifa!
Sawa bwashee!Utaelewa tu. Slow learner lazima kwenda nao taratibu
Hivyo vifaa ni kwa ajili ya JWTZ vya kutumika kwenye kulinda amani sehemu kulipo na Jeshi letu
Hata zile Yutong zinakuja bila rangi za makampuni husika za mabasi.Mbwiga Kikosi cha kulinda amani magari yao ni meupe na yana nembo ya UN.
Msaada wa leo ni wa JWTZ.
Hii habari ya mabeberu au wamarekan mkuu?Hii habari imekaa vibaya sana kwa wana ufipa aka makamanda uchwara.