Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Wao wakati wanasaidia Ukraine na tena kwa kujigamba walikuwa wanaona raha sana. Pumbafu zaoWASHINGTON: Marekani imeshindwa kuvumilia baada kupoteza ndege E-3 AWACS Radar Plane na Refueling Tankers huko Saudi Arabia nakuelekeza tuhuma zake kwa Russia kua inaisaidia Iran kinyemela.
BREAKING; US officials warn President PUTIN: Stop Indirect Military Support to IRAN After Loss of E-3 AWACS Radar Plane and Refueling Tankers
US officials have warned Russia against providing indirect military support to Iran amid an ongoing US-Israeli conflict with Tehran, following recent Iranian strikes that damaged or destroyed key American aircraft, including refueling tankers and an E-3 Sentry AWACS (Airborne Warning and Control System) radar plane.
Trump anakeraWakati wanaisaidia Ukraine zana za kivita hawakujua kama ni kosa?
Marekani anamashosti wengi ambao silaha yao kubwa ni vikwazo sio nguvu kijeshi Kwa Russia, Geopolitics.................Hii inatupa picha kwamba USA anaweza kumsaidia adui wa Urusi wazi wazi wakati WA vita, lakini Urusi hawezi kimsaidia adui wa Marekani wazi wazi wakati WA vita.
Hii inaonesha nchi zote Duniani zinaogopa vikwazo vya USA.
Wanafikiri wanaweza kuamrisha kila taifa duniani.Wakati wanaisaidia Ukraine zana za kivita hawakujua kama ni kosa?
Angalau Trump alipoingia madarakani kipindi hiki alimnyoosha kiasi Zelensky na kumbeba Putin kimtindo, so ana haki ya kuhoji...kuelekeza tuhuma zake kwa Russia kua inaisaidia Iran kinyemela.
Ilikuwa kisasi. Wanadai kuna pesa ilipelekwa Ukraine kama msaada, pesa hiyo ikarudishwa tena Marekani kusaidia kampeni ya democrats kipindi cha uchaguzi.Angalau Trump alipoingia madarakani kipindi hiki alimnyoosha kiasi Zelensky na kumbeba Putin kimtindo, so ana haki ya kuhoji